Jamani mimi ni mkulima mzuri wa chainizi na huwa napenda kuzila sana kwani chakula kikiandaliwa bila chainizi pembeni huwa sifurahii mlo huo.lakini nimesikia kuwa mboga hii inapunguza nguvu za kiume ni kweli?
Bunduki bila risasi yaua namna gani
Nimesikia...nimeona....
Kwa style hiyo bas n wengi madushe hayafany kazi
Jamani mimi ni mkulima mzuri wa chainizi na huwa napenda kuzila sana kwani chakula kikiandaliwa bila chainizi pembeni huwa sifurahii mlo huo.lakini nimesikia kuwa mboga hii inapunguza nguvu za kiume ni kweli?
Jamani mimi ni mkulima mzuri wa chainizi na huwa napenda kuzila sana kwani chakula kikiandaliwa bila chainizi pembeni huwa sifurahii mlo huo.lakini[COLOR="#0000FF"[B][I][COLOR="#FF0000"]] nimesikia[/COLOR] [/COLOR][/I][/B]kuwa mboga hii inapunguza nguvu za kiume ni kweli?