Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Sasa hizo vitamin zilizopo huko kwanini nisitafute matunda na mboga au chakula vyenye hivyo vitu? Na mazoezi? Sina shida hii ila fikirieni kwanza.
Mtu una tambi kama unajifungua leo unakula kiepe na laga sana unategemea utakuwa kamili?
 
Hili ni janga la taifa,sasa hii dawa ni kwamba kila ukitaka kushiriki ndio ufanye hii process ya wiki au baada ya kunywa week tatizo linakuwa solved moja kwa moja ?
 
Habari za mchana huu
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia huu uvumi. Nauita uvumi kwa sababu mimi binafsi sijawahi kuthibitisha nimekulia kwenye mazingira yanayolimwa karanga na nimekuwa nikila karanga mbichi kwa kiasi kikubwa lakini sikuwahi kuona hii kitu.

Nimewahi kusikia eti kuna watu wakila karanga basi siku hiyo bila kupata yale mambo bas hatopata usingizi.na kama utafanya mapenzi siku hiyo perfomance itakuwa ya kiwango cha juu na ukionekana unakula unaulizwa 'vipi una mechi leo?

Sasa naomba mnipe uzoefu wenu wakuu hili jambo ni la kweli?
Na kama ni kweli ni kwa jinsia zote au ni upande wa kiumeni tu?
Na je kuna biological explanation yoyote juu ya hili?
Natanguliza shukrani
 
Nimesoma soma baadhi ya Articles za kwenye mtandao, wanasema karanga zinaongeza nguvu za kiume, sio hamu. Kwa habari zaidi, waweza google. Pia kwa upande wangu kama mwanaume nimekula kula karanga mbichi kama hobby ila naona kawaida tu inapokujaga kwenye mechi. Sionagi kama nakuwa superhuman kitandani, ila mwendo wangu huwa si chini ya dk 10, 15. Sijajua kama zinakuwa na mchango hapo au la. Ila upande wa kusema zinaongeza genye, sidhani, ni mitazamo tu.
 
Binafsi sidhani kama karanga zina uhusiano wa moja kwa moja na libido.

Sijawahi kuona makala yoyote ile ya kisayansi iliyotoa ushahidi wa kutosha, kuridhisha, na kuhitimisha hiyo dhana ya karanga kuongeza hamu ya kumega.

Ila kwa vile inaaminika kuwa zinaongeza hamu, kama mtu akizila na kujiona au kujisikia kwamba kweli hamu yake imeongezeka basi hiyo hamu, kwa maoni yangu, itakuwa ni matokeo ya placebo tu (placebo effect).
 
Unaweza kupata info zaidi kupitia https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/53356-je-kweli-karanga-mbichi-huongeza-nguvu-za-kiume.html.. ni mada ambazo zinalingana

 
Ninavyojua , karanga pamoja na vyakula vya jamii yake..cashwenuts, groundnuts..yaani zile nuts zote...maharagwe, mayai, nyanya na matunda jamii ya machungwa vina vitamini E, madini ya Zinc, na aina flani ya acids ambazo zinaongeza *sperm count* kwa mwanaume.

Mbegu zikizalishwa kwa wingi, matokeo yake hata hamu ya kufanya ngono inaongezeka. Kwa hiyo ile dhana vijana wengi waliyonayo kuwa *leo nina gemu* na wanatafuna raw nuts, inasaidia japo hata vitu vingine vinaongeza pia. Mwili wa mwanaume ukikosa madini ya zinc ni hatari kwa afya ya mbegu za kiume....
 

Okey....vipi kuhusu mwanamke au nae ndo hivyo hivyo?
 
Kiukwel binafsi karanga + mihogo n vitu vinavyoongza kwa kias kikubwa sperms na toka nmeanza kuvitumia cjawah kuuza mechi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…