Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Mmhhhh jamani kuna kitu kinaitwa mundende yaanii nisheeeeedaahhh kina steam baaalaaaaa angalizo usitumie ukuwa na mpnz wako 4really atakuacha,,,!!!!!!
 
Hii ni kweli? Unaweza kunipa source kama unayo ili nami niweze kuongeza ufahamu juu ya hilo...?

Sina source kiongozi, ni kitu nimesoma mda kidogo kuhusu uhusiano wa uzalishwaji wa mbegu na hamu ya kufanya ngono. Labda ujaribu kugugo.
 
Sina source kiongozi, ni kitu nimesoma mda kidogo kuhusu uhusiano wa uzalishwaji wa mbegu na hamu ya kufanya ngono. Labda ujaribu kugugo.

Nimejaribu ku-google nimeambulia patupu. Haina shida lakini kama huna source. Nilikuwa nataka kuongeza maarifa tu.
 
mpango mzima konyagi tu atakimbia hata nauli atasahau
 
Karanga mbichi zinasaidia kusafisha mapafu hasa zile ambazo zina magamba yake.

Kinachoongeza nguvu za kiume ni mchele mkavu kama utatafuna muda mchache kabla ya show. Mchele kiasi tu usifike hata robo kilo.
 
Daah mbona sasa ni nadra sana kumuona mwanaume anatafuna mchele
 
Karanga zinaongeza ujazo wa manii sio hamu nimelifanyia utafiti ila
 
Mpaka uwe mwanaume.
 
UUme kusimama kuna uhusiano na damu kwa 99%,lakini kuna uhusiano kati ya begu za kiume na karanga kama Eli alivyosema hapo juu

Ili uume usimame unahitaji damu ya kutosha kuingia kwenye mishipa,mtu anapokuwa anafanya mazoezi ya kutosha,kunywa maji ya kutosha pamoja na kula ndizi mbivu za kutosha zinasaidia kuongeza nguvu za kiume kwa 60%

Mazoezi yanaifanya damu kuwa neyesi hivyo kupenya kwenye mishipa kwa urahisi zaidi,maji nayo ni hivyo hivyo,ndizi zina saidia kuimarisha misuli ya mwili ikiwemo mishipa ya uume,hivyo unaweza kuona vile ambavyop inahusika hapo

Kwa uchache ni hayo .....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…