ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Okey....vipi kuhusu mwanamke au nae ndo hivyo hivyo?
Mmmh, kwa wadada nimesikia eti wakiwa na mimba inasaidia kuleta hamu...! sijui kama ni kweli...:cool2::cool2:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okey....vipi kuhusu mwanamke au nae ndo hivyo hivyo?
Kiukwel binafsi karanga + mihogo n vitu vinavyoongza kwa kias kikubwa sperms na toka nmeanza kuvitumia cjawah kuuza mechi mkuu
Mmmh, kwa wadada nimesikia eti wakiwa na mimba inasaidia kuleta hamu...! sijui kama ni kweli...:cool2::cool2:
Mbegu zikizalishwa kwa wingi, matokeo yake hata hamu ya kufanya ngono inaongezeka.
Hii ni kweli? Unaweza kunipa source kama unayo ili nami niweze kuongeza ufahamu juu ya hilo...?
Sina source kiongozi, ni kitu nimesoma mda kidogo kuhusu uhusiano wa uzalishwaji wa mbegu na hamu ya kufanya ngono. Labda ujaribu kugugo.
Kuleni kuberi ndo mpango mzima. unamkojolea mdada mpaka anaomba poo. Tuwasiliane 0754778112
mpango mzima konyagi tu atakimbia hata nauli atasahau
Usihangaike hii ndo yenyewe
Supu ya pweza ndo alpha na omega
Karanga mbichi zinasaidia kusafisha mapafu hasa zile ambazo zina magamba yake.
Kinachoongeza nguvu za kiume ni mchele mkavu kama utatafuna muda mchache kabla ya show. Mchele kiasi tu usifike hata robo kilo.
jaribu uone
Binafsi sidhani kama karanga zina uhusiano wa moja kwa moja na libido.
Sijawahi kuona makala yoyote ile ya kisayansi iliyotoa ushahidi wa kutosha, kuridhisha, na kuhitimisha hiyo dhana ya karanga kuongeza hamu ya kumega.
Ila kwa vile inaaminika kuwa zinaongeza hamu, kama mtu akizila na kujiona au kujisikia kwamba kweli hamu yake imeongezeka basi hiyo hamu, kwa maoni yangu, itakuwa ni matokeo ya placebo tu (placebo effect).
Mpaka uwe mwanaume.Habari za mchana huu....
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia huu uvumi. Nauita uvumi kwa sababu mimi binafsi sijawahi kuthibitisha......nimekulia kwenye mazingira yanayolimwa karanga na nimekuwa nikila karanga mbichi kwa kiasi kikubwa lakini sikuwahi kuona hii kitu.
Nimewahi kusikia eti kuna watu wakila karanga bas siku hiyo bila kupata yale mambo bas hatopata usingizi....na kama utafanya mapenzi siku hiyo perfomance itakuwa ya kiwango cha juu....na ukionekana unakula unaulizwa 'vipi una mechi leo'?...
Sasa naomba mnipe uzoefu wenu wakuu hili jambo ni la kweli?
Na kama ni kweli ni kwa jinsia zote au ni upande wa kiumeni tu?
Na je kuna biological explanation yoyote juu ya hili?
Natanguliza shukrani