Dawa ya Oktoba 29/2025 ndiyo pekee itakayowaingia vizuri ccm kwenye chaguzi zijazo

Dawa ya Oktoba 29/2025 ndiyo pekee itakayowaingia vizuri ccm kwenye chaguzi zijazo

Mnajivunia uchomaji mali?
Lakini hamjivunii kushonwa misumari?

1. Mwendokasi dsm ni mali ya ccm yupi?

2. Kule mwanza igoma, maduka ya simu yaliyokuwa barabarani yote yalipitiwa, zile ni simu za ccm?

3. Mipango ya kutaka kuchoma sgr nayo ni mali ya ccm?

4. Vituo vya kuzalishia umeme navyo ni mali ya ccm?

5. Barabara mlizokuwa mnachoma nazo ni mali ya ccm na zinatumiwa na wana ccm?

Mtaendelea kula misumari hadi akili ziwakae vizuri, naona hamjakaa sawa vichwani.
Wewe waache haya majimbwa yarudie ndo maana mimi mpaka kesho nahamu waliochoropoka watafutwe wauwawe
 
Lugha pekee watakayoielewa ccm ni ile ya Octoba 29.

Lugha iliyozungumzwa na watanzania siku ya uchaguzi mkuu octoba 29/2025 ndiyo lugha pekee wanayoielewa CCM hasa CCM mtandao.

1. Kwanza kususia huo uchaguzi kuliwatia hofu sana ccm ndiyo maana walitumia kila njia ionekane kuna foleni za wapiga kura.

2. ⁠Kuchoma moto mali za wana ccm mtandao na machawa wao hii ni lugha ambayo ccm wameielewa na hawaombei itokee tena mbele ya safari. Wananchi kuchoma moto mali za ccm na wana ccm imewapa ujumbe CCM kuwa mzaha mzaha hutumbua usaha na ipo siku wataamka na kujikuta wanamiliki majivu tu ndani ya nchi hii.

3. ⁠Uchomaji huu wa mali za ccm umepelekea kuwatia hofu hata wale kimbelembele wa kukejeli wananchi kama Kigwangala, Makonda, Musukuma, Chalamila etc na sasa wameelewa umuhimu wa kukaa upande wa wananchi wanapoonewa au kukaa kimya kabisa.

4. ⁠Uchomaji huu umemfundisha mtoto wa Rais Abdul kuwa kiburi chake si lolote si chochote mbele ya hasira za watanzania ndiyo maana amekaa kimya na uendeshaji wake wa fujo wa magari ya kifahari umekoma.

5. ⁠Sasa hamna mwanaccm anayetamani uchomaji huu wa octoba 29 ujirudie hivyo wana ccm wengi hawatakubali ufanyike uchaguzi mwingine kwa staili ya kuengua wapinzani kama ule wa octoba 29.

6. ⁠Hata kama ccm mtandao watataka kuandaa uchaguzi mwingine wenye sura kama ule wa october 29, kuna uwezekano mkubwa wanachama na viongozi wengi wa ccm kujivua na kutangaza kuondoka ccm kwa hofu ya kuchomewa mali zao.

7. ⁠Uchomaji huu ndiyo utakaotuletea katiba mpya na chaguzi huru zenye kueshimiana, hivyo maandalizi ya kuchoma tena mali ccm na wana ccm yaendelee tena safari nyingine kwa ufanisi na ukubwa zaidi.

8. ⁠CCM wakikaidi tena kuandaa uchaguzi wa huru na haki, nchi nzima iamke na mali zao zichomwe kuanzia ngazi ya kata , kijiji, wilaya , mkoa hadi taifa. Yani hakikisha unajua mali za wanaccm zilipo na siku hiyo uzichome maana ndiyo lugha pekee wanayoweza kuisikia na kuielewa ccm.

9. ⁠Tofauti na lugha ya kuchoma hamna lugha nyingine wanayoweza kuielewa ccm, mtaimba na kulia na hamna mabadiliko yoyote watakayofany

JARIBUNI TENA MUONE RISASI ZINAVYOPASUA KICHWA
 
Mnajivunia uchomaji mali?
Lakini hamjivunii kushonwa misumari?

1. Mwendokasi dsm ni mali ya ccm yupi?

2. Kule mwanza igoma, maduka ya simu yaliyokuwa barabarani yote yalipitiwa, zile ni simu za ccm?

3. Mipango ya kutaka kuchoma sgr nayo ni mali ya ccm?

4. Vituo vya kuzalishia umeme navyo ni mali ya ccm?

5. Barabara mlizokuwa mnachoma nazo ni mali ya ccm na zinatumiwa na wana ccm?

Mtaendelea kula misumari hadi akili ziwakae vizuri, naona hamjakaa sawa vichwani.
Halafu walitaka watuliza ghasia watumie ustaarabu wakati wao waliingia barabarani tayari kabisa kwa shari.
 
Walioleta nywi nywi hawapo tena duniani muda huu wazazi wao wanaomba miili wakaizike.

Hii mada ngumu sana mkuu Etwege.
Mmeua watoto, wazee na kina mama waliokuwa wamelala ndani lakini waliochoma mali zenu wako wanadunda mitaani tu wakisubiri mlete tena uchaguzi wa ******* safari hii wachome hadi familia zenu
 
Mmeua watoto, wazee na kina mama waliokuwa wamelala ndani lakini waliochoma mali zenu wako wanadunda mitaani tu wakisubiri mlete tena uchaguzi wa ******* safari hii wachome hadi familia zenu
Nyinyi wakubwa mlivunja supermarket ya shoppers plaza pale mbele ya mbuyuni ukiwa unaelekea tegeta halafu mkakimbilia majumbani mwenu pale opposite ya wazo, mkafuatwa na mapolisi mkala chuma kwa ujinga wenu.

Hakuna namna mnaweza nyinyi peke yenu mkawa na haki na Tanzania nzima kwa kisingizio cha siasa za vyama vingi, mkileta upuuzi mtachezea tu chuma.
 
Ccm ni majizi kweli hata mimi hilo silipingi ila kati yenu na majizi ya Ccm nani alipata dawa October29? Nyumbu si ndo mlinyooshwa hadi leo mkiambiwa hakuna kutoka ndani kweli hamtoki tena?.

Siikubali Ccm lakini ule unyumbu mlioufanya wa kihalifu wa wizi na uharibifu wa mali ile dawa mloyoipata ndo mnastahili, hakuna huruma kwa nyumbu wahalifu.
 
Ccm ni majizi kweli hata mimi hilo silipingi ila kati yenu na majizi ya Ccm nani alipata dawa October29? Nyumbu si ndo mlinyooshwa hadi leo mkiambiwa hakuna kutoka ndani kweli hamtoki tena?
Wanaishia kuandaa maandamano yanayoanza na kuishia kwenye kurasa za instagram na facebook.
 
Wanaishia kuandaa maandamano yanayoanza na kuishia kwenye kurasa za instagram na facebook.
Sikubaliani na Ccm utawala wake lakini hawa wachochezi waanzisha maandamano ya vurugu ni wahalifu dawa yao ni kupunguzwa hapa duniani wapelekwe akhera hakuna huruma kwa nyumbu wasio na akili.

Amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote
 
Etwege wa kipindi cha Magufuli na huyu ni wawili tofauti huu ni ushahidi kuwa mwanadamu anabadilika. CCM watu wanabadilika shitukeni.
Nataka nikueleze kitu kisha ufuatilie kuthibisha ukweli.
Kipindi cha Magufuli kuna watu wengi humu JF na mtaani walijitenga na siasa za uhuni uliofanywa na Mbowe kumpitisha Lowassa kuwa mgombea uraisi. Kisha kuitelekeza agenda ya kupinga ufisadi.
Kuna wana CCM pia waliokerwa na ufisadi na uzembe ulioachwa utendeke bila kificho awamu ya Kikwete na Mkapa. Hao nao wakamtetea JPM na serikali yake kwa nguvu zote.
Baada ya kifo cha JPM na kurudi ufisadi na uzembe , makundi Yale yote niliyotaja hapo juu walipinga uongozi wa CCM ya mrithi wa JPM.
Madudu mengi sana ya ajabu yalijitokeza tena kwa kasi ya ajabu.
Mfano bandari, kuhamishwa wamasaai, habari ya makaa ya mawe na uranium, kudorora huduma za afya, BRT-UDART(mwendokasi), n.k.
 
Kama wewe Etwege mwana CCM kindakindaki uliyekuwa umekunywa maji ya bendera ya kijani leo ghafla umepiga U-Turn, basi hakika dawa imekuingia na kukupata kwelikweli kwani sasa unaongea lugha ya wananchi!

Umefuata nyayo za Cyprian Musiba aliyekuwa Chawa aliyekubuhu akidhania kuwa dunia ina umbo la meza kumbe ni duara na kwamba unaweza kujimwambafy weeee leo, lakini kesho ukatembea matako nje na kuomba msaada wa uliokuwa unawamwambafaia..

Ipo siku hata hawa kina Troll JF, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Steven Joel Ntamusano, kavulata, KERATO MOMBAA watakuja kugundua kuwa huwa wanasifu na kushangilia kinyesi lakini wakati huo tayari ni too late, meli imeng'oa nanga..!
Dhumuni kuu la kuanzishwa kwa Chama Cha Mapinduzi,
ni kushiriki kila chaguzi na kushinda kwa kishindo, kukamata dola, kuunda serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia waTanzania na kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.

Nakuhakikishia gentleman without fear of contradictions,
CCM itashinda kwa kishindo uchaguzi wa serikali za mitaa2029, na vile vile itashinda kwa kishindo kikuu uchaguzi mkuu wa 2030.

mmezoea kususa chaguzi, public sympathy and international tension but as a country tutsonga mbele bila kuja li porojo zenu gentleman :BillyApprove:
 
Washinde kwa kishindo bila kukata wapinzani na kujaza kura feki kwenye masanduku ya kura
 
Nataka nikueleze kitu kisha ufuatilie kuthibisha ukweli.
Kipindi cha Magufuli kuna watu wengi humu JF na mtaani walijitenga na siasa za uhuni uliofanywa na Mbowe kumpitisha Lowassa kuwa mgombea uraisi. Kisha kuitelekeza agenda ya kupinga ufisadi.
Kuna wana CCM pia waliokerwa na ufisadi na uzembe ulioachwa utendeke bila kificho awamu ya Kikwete na Mkapa. Hao nao wakamtetea JPM na serikali yake kwa nguvu zote.
Baada ya kifo cha JPM na kurudi ufisadi na uzembe , makundi Yale yote niliyotaja hapo juu walipinga uongozi wa CCM ya mrithi wa JPM.
Madudu mengi sana ya ajabu yalijitokeza tena kwa kasi ya ajabu.
Mfano bandari, kuhamishwa wamasaai, habari ya makaa ya mawe na uranium, kudorora huduma za afya, BRT-UDART(mwendokasi), n.k.
Uko sahihi
 
Mzee Butiku endelea kukemea
 
Back
Top Bottom