Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Ikiwa 'umeuza' mechi au kondomu imepasuka, basi usihamaki kwea bodaboda fasta wahi hospitali ya karibu na jipatie PEP kwa siku 28 na utakua safi.
TAHADHARI: Utapewa PEP baada ya kupimwa HIV na kuonekana NEGATIVE pia utapaswa kupitia hatua kadhaa za mahojiano (ya kukera) utawekwa kwenye foleni kadhaa (full kujichoresha) kama mtu wa nishai lazima uishie njiani.
NB: PEP ndo hizo hizo ARV kwa ujiandae kisaikolojia maudhi/side effects za mauza uza siku za mwanzo.