Dawa ya PrEP inavyotumika kuepuka maambukizi ya VVU

Dawa ya PrEP inavyotumika kuepuka maambukizi ya VVU

Kuna mwanangu naye alimlamba manzi siku tano ndio akampima akamkuta positive! Jamaa alichanganyikiwa! Halafu anadai alipiga shoo very rough. So akaanza pep siku ya sita! At the end mshkaji ni negative mpaka leo
Siku ya sita itakuwa tayari kashaungwa kwenye grid ya high voltage.
 
Sema zina mauza uza kinoma usiku unaweza ota umebebwa kwenye jeneza alafu zinaleta kizunguzungu na njaa kali ila utelezi unatugharimu sana yani mtu mwezi mzima unabugia vitu
 
Kuna mwanangu naye alimlamba manzi siku tano ndio akampima akamkuta positive! Jamaa alichanganyikiwa! Halafu anadai alipiga shoo very rough. So akaanza pep siku ya sita! At the end mshkaji ni negative mpaka leo
PEP haifanyi kazi zaidi ya masaa 72
Amebaki negative kwa sababu tu hakupata maambukizi

Kufanya ngono zembe na HIV positive partner si kupata maambukizi. Kuna mambo kadhaa yakiwepo ndio yanakuweka kwenye hatari.
High viral load, STI, anal sex

Tafiti za kisayansi zinaonyesha kila watu 10,000 wanaofanya ngono zembe wa wenye HIV ni watu 8 tu ndio hupata maambukizi
 
Dawa moja tu. Pima, Tomba, papo kwa papo.
Hii labda kama unatania tu, otherwise achana nayo kabisa

Unaweza pima mtu antibody ikawa bado haijawa active lakini tayari ana maambukizi. Hii inatokea kwa mtu aliyeambukizwa muda mfupi uliopita kama wiki 4 hadi 6

Tena katika hatua hiyo ndio victim anakua na viral load kubwa sana hivyo anasambaza maambukizi kirahisi sana

Pima, tumia condom, pima tena baada ya siku 90, akiwa bado negative vua condom. Lakini bado kuna hepatitis B na UTI sugu
 
Acha kupotoasha jamii, wiki 4,6 viral load inakuaje kubwa akati hata kipimo chenyewe kimeshindwa kusoma kama kuna virus!????
 
Acha kupotoasha jamii, wiki 4,6 viral load inakuaje kubwa akati hata kipimo chenyewe kimeshindwa kusoma kama kuna virus!????
Unaleta ubishi juu ya jambo usilojua.
Maambukizi ya HIV yanaonekana kwenye kwenye viral load test baada ya siku 3 tu toka mtu ameambukizwa

Kipimo unachosema wewe (antibody test) hakiangalii virus, kinaangalia aina maalum ya antibody ambayo mwili hutengeneza ili kupambana na virusi

Kwa kawaida mwili haugundui mara moja kuwa kuna maambukizi yameingia, inachukua wiki 4 hadi 12 hiyo antibody kuwa imetengenezwa na kuonekana kwenye kipimo hicho cha antibody

Wakati kabla antibody haijatengenezwa, viral load huwa kubwa sana kwa sababu virusi havishambuliwi na chochote bado, hivyo huzaliana haraka sana

Antibody ikiwa activated ndio kipimo hicho unachojua kinasoma "reactive" na wakati huo viral load inashuka sababu virus wanashambuliwa na antibody hata kabla huyo mtu hajaanza matibabu
 
Back
Top Bottom