Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
PEPheading PrEP body PEP ,tuchukue lipi?
Hongera Mkuu. Reaction ya demu baada ya kupima na kukutwa na Ngwengwe ndo hatari zaidiPEP zimeniokoa mara 2 nauza mechi ugenini halafu baada ye mechi tunapima mtu ana ngoma.
PEP zishukuriwe.
Unprotected Sex?Kumbukeni kuna hili la home ya ini nalo ni hatari sana.
Njia ya maambukizi ni hiyo hiyo ya ukimwi.
Sasa kama una access ya kupima kwanini usipime kabla!?? We ni maandazi kweliPEP zimeniokoa mara 2 nauza mechi ugenini halafu baada ye mechi tunapima mtu ana ngoma.
PEP zishukuriwe.
Mkuu nakubali mimi ni zaidi ya maandazi au hata zaidi ya maandazi, nipe jina lolote mkuu nakubali maana nilichokua nakifanya ni uharo 100%.Sasa kama una access ya kupima kwanini usipime kabla!?? We ni maandazi kweli
Ngono zembe huwa tam sanaDawa ni kuepuka ngono zembe
Tamu chunguNgono zembe huwa tam sana
Kuna mwanangu naye alimlamba manzi siku tano ndio akampima akamkuta positive! Jamaa alichanganyikiwa! Halafu anadai alipiga shoo very rough. So akaanza pep siku ya sita! At the end mshkaji ni negative mpaka leoMkuu nakubali mimi ni zaidi ya maandazi au hata zaidi ya maandazi, nipe jina lolote mkuu nakubali maana nilichokua nakifanya ni uharo 100%.
Bora hata ile ya kwanza sikua na vipimo ndani, kesho yake ndio nikanunua vipimo, ya pili nilikua navyo nyumbani na akaja nikamla bila kupima kesho yake ndio nikampima.
Ila imenipa funzo la thamani ya maisha, ujinga huo sitawahi kuurudia tena.
Asijifariji. Apime tenaKuna mwanangu naye alimlamba manzi siku tano ndio akampima akamkuta positive! Jamaa alichanganyikiwa! Halafu anadai alipiga shoo very rough. So akaanza pep siku ya sita! At the end mshkaji ni negative mpaka leo
Hizi dawa zingewekwa tu kwenye maduka ziuzwe kama dawa nyingine.Ikiwa 'umeuza' mechi au kondomu imepasuka, basi usihamaki kwea bodaboda fasta wahi hospitali ya karibu na jipatie PEP kwa siku 28 na utakua safi.
TAHADHARI: Utapewa PEP baada ya kupimwa HIV na kuonekana NEGATIVE pia utapaswa kupitia hatua kadhaa za mahojiano (ya kukera) utawekwa kwenye foleni kadhaa (full kujichoresha) kama mtu wa nishai lazima uishie njiani.
NB: PEP ndo hizo hizo ARV kwa ujiandae kisaikolojia maudhi/side effects za mauza uza siku za mwanzo.