permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Siku ya sita itakuwa tayari kashaungwa kwenye grid ya high voltage.Kuna mwanangu naye alimlamba manzi siku tano ndio akampima akamkuta positive! Jamaa alichanganyikiwa! Halafu anadai alipiga shoo very rough. So akaanza pep siku ya sita! At the end mshkaji ni negative mpaka leo
Ni scenario ya mwaka 2020, hii ni 2022 ameshapima mara kibao! Sio kila sex na mwathirika basi unaambukizwa hapana! Ila kama utakula tigo chance ya kuambukizwa ni kubwa zaidi!Asijifariji. Apime tena
Dawa moja tu. Pima, Tomba, papo kwa papo.Dawa ni kuepuka ngono zembe
🤣🤣🤣Zinaua figo, zinachosha ini!
PEP haifanyi kazi zaidi ya masaa 72Kuna mwanangu naye alimlamba manzi siku tano ndio akampima akamkuta positive! Jamaa alichanganyikiwa! Halafu anadai alipiga shoo very rough. So akaanza pep siku ya sita! At the end mshkaji ni negative mpaka leo
Hii labda kama unatania tu, otherwise achana nayo kabisaDawa moja tu. Pima, Tomba, papo kwa papo.
Acha kupotoasha jamii, wiki 4,6 viral load inakuaje kubwa akati hata kipimo chenyewe kimeshindwa kusoma kama kuna virus!????Hii labda kama unatania tu, otherwise achana nayo kabisa
Unaweza pima mtu antibody ikawa bado haijawa active lakini tayari ana maambukizi. Hii inatokea kwa mtu aliyeambukizwa muda mfupi uliopita kama wiki 4 hadi 6
Tena katika hatua hiyo ndio victim anakua na viral load kubwa sana hivyo anasambaza maambukizi kirahisi sana
Pima, tumia condom, pima tena baada ya siku 90, akiwa bado negative vua condom. Lakini bado kuna hepatitis B na UTI sugu
Unaleta ubishi juu ya jambo usilojua.Acha kupotoasha jamii, wiki 4,6 viral load inakuaje kubwa akati hata kipimo chenyewe kimeshindwa kusoma kama kuna virus!????