Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Bodies of jamii forum
I salute you..!
Hii team inayoitwa simba kwa kweli inasikitisha.!
Wana matatizo mengi sana lakini kwa uchache tunayajua na wao hawataki kuyakabili ili wasonge mbele! Inasikitisha
WACHEZAJI!.
SIMBA miaka hii inafeli upande wa usajiri,
Sijui ni nani anawaletea wachezaji lakini kama ni yule scout mzungu basi kuna tatizo kubwa sana ..!
Mchezaji kama jobs alifaa kucheza Ken gold hata mtibwa hapati namba ..!
Benchicha aliposema wachezaji wana vichwa vigumu mlimhukumu..!
Hakukosea kabisa
Ukiqngalia yanga unaona kabisa kuwa kuna tactics zimekuwa implemented kwenye vichwa vya players , yaani kocha kafundisha na wachezaji wanaelewa na ndicho wanatimiza uwanjani..!
Simba wachezaji wa hovyo na vichwa vigumu kuelewa, kichwa kama cha saido kipo kama nazi kigumu vile ataelewa vipi na umri umesonga maana yake inakuwa ngumu kushika vitu kichwani!
Mnalazimisha ...!
Huyo jobe yaani anakimbia kama ana kifaduro jamani mliomleta hamuoni aibu? Simba nawaonea huruma sana, utadhani halagi chakula au kibu anamalizaga msosi wote?
MAKOCHA
Ndani ya kipindi kifupi tu hiki simba wametimua zaidi ya makocha 8 ..!
Je wote hao ni makocha wabovu? Hapana ila wachezaji hawafundishiki!
Wachezaji ni wa daraja la chini sana na uwezo wa chini mno
Kibu Denis mpaka sasa ana goli 1 tu jamani yaani kazidiwa mpaka na beki wa yanga yao jamani kweli?
Haoo kocha kosa lake nini kama mnamletea wachezaji walevi kama kina saido na wenzie kina chama?
Pia umri unachangia sana kwenye performance
Unamkuta mzee saido hapa miaka 45
Mzee chama pale miaka 36
Mzee wangu kapombe pale baba esta miaka 34
Mwamba wa sengerema pale miaka 35
Huku Mzee wetu ngoma pale chezaji la Airport miaka 44
Pale chini kabisa bwana mdogo shabalala miaka 32
Hapa unakutana na jobs kichwa nazi miaka 33
Sasa kwa mantiki hiyo tutafika wapi
Kubalini yanga kawaacha mbali