Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,819
- 2,134
Habarini wanajamvi hivi karibuni tumbo langu limekua likijaa gesi na kuunguruma kila siku inayopelekea mpaka nimeanza kuvurunda katika tendo la ndoa yoyote anaejua dawa ya tatizo hili naomba anisaidie au kwa ushauri.