Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mahembe ndio chakula gani mkuu au ulikusudia maembeMi napenda 'Mahembe' sanaaaa
Umeeleza vizuri, hii dawa ni maalum kwa vidonda vya tumbo vilivyo sababishwa na Hyprol tu, otherwise haifanyi kaziHizo ni dalili za vidonda vya tumbo, wahi dispensary yyt karibu yako wakapime kipimo cha H-pyroli na kama una vidonda bado vichanga itasoma positive, nunua dawa ya h-pyroli kit nafikiri inauzwa elf60, ila ni mwisho wa matatizo unatakiwa ukianza kuitumia uwe off duty. Mi nliitumia karibu niahirishe dr. Kaniambia huwezi kufa malizia dawa hata kama inakutesa.
nimepima ulcers cnaHizo ni dalili za vidonda vya tumbo, wahi dispensary yyt karibu yako wakapime kipimo cha H-pyroli na kama una vidonda bado vichanga itasoma positive, nunua dawa ya h-pyroli kit nafikiri inauzwa elf60, ila ni mwisho wa matatizo unatakiwa ukianza kuitumia uwe off duty. Mi nliitumia karibu niahirishe dr. Kaniambia huwezi kufa malizia dawa hata kama inakutesa.
asante sana mkuuTIBA YAKE
>>Kunywa chai ya tangawizi au karafuu itasaidia kupunguza gesi >Unaweza kunywa glasi moja ya juisi ya Limao baada ya kula.
>Tafuna mbegu za maboga zinasaidia kulainisha mfumo wa chakula
>Lalia ubavu wa kushoto na pumua kwa kasi ili kupunguza gesi tumboni >Kunja miguu na ikalie uku ukinyoosha mikono na kuinamia mbele itasaidia kuongeza kasi ya mfumo wa chakula kufanya kazi na kuondoa gesi.
>Fanya mazoezi mepesi ya kutembea na kuruka ruka Kula na tafuna chakula taratibu na epuka vyakula vyenye gesi na mafuta mengi,
MUHIMU:
Nenda hosipitali kama tatizo ili linaambatana na kuharisha, kutapika, maumivu makali ya tumbo, kinyesi chenye rangi tofauti au damu na maumivu ya kifua.
Unapendelea kunywa sana maziwa au mtindi?Habarini wanajamvi hivi karibuni tumbo langu limekua likijaa gesi na kuunguruma kila siku inayopelekea mpaka nimeanza kuvurunda katika tendo la ndoa yoyote anaejua dawa ya tatizo hili naomba anisaidie au kwa ushauri.
ndio mkuu hasa mtindi but now nimepunguzaUnapendelea kunywa sana maziwa au mtindi?
nguvu za kiume za mwanaume zipo tumboni,tumbo likiwa vibaya mara gesi mara choo sipati mara kinyesi kigumu ujue wewe si muda mrefu unakimbiwa kitandani,na ukitaka kuwa poa usinywe dawa ya kuongeza nguvu ya kiume kwanza hakuna dawa ya hivyo ila we rekebisha tumbo lako tuu uwe unapata choo laini na cha kutosha lisiwe linajaa gesi na blah blah zingine kama hizo,utakuja kuniambia,hayo matatizo ya tumbo kuunguruma na kujaa gesi baadae yatapelekea maumivu ya kiuno,mgongo na miguu hapo ndio tatizo lako litakuwa limefika climaxHebu fafanua hapo ''nimeanza kuvurunda katika tendo la ndoa'' HOW
fafanua hapa vizuri mkuu tupate faidaChukua mfagio jifagia kuanzia tumboni kushuka chini baada ya mda utaenda kuharisha na tatizo litaisha
Ila na wewe uache ulafi
ila siku hiyo choo kitakuwa vhake peke yaketafuna ile mbegu ya habaat mulk
Mnyama box lake hiloView attachment 707717
Mnyama box lake hiloView attachment 707717
Habarini wanajamvi hivi karibuni tumbo langu limekua likijaa gesi na kuunguruma kila siku inayopelekea mpaka nimeanza kuvurunda katika tendo la ndoa yoyote anaejua dawa ya tatizo hili naomba anisaidie au kwa ushauri.