Dawa ya tumbo kujaa gesi na kuungurumaa

Dawa ya tumbo kujaa gesi na kuungurumaa

Habarini wanajamvi hivi karibuni tumbo langu limekua likijaa gesi na kuunguruma kila siku inayopelekea mpaka nimeanza kuvurunda katika tendo la ndoa yoyote anaejua dawa ya tatizo hili naomba anisaidie au kwa ushauri.
Kunguruma kwa tumbo pia sio ishara nzuri kwa wale ambao mmeshatumia dawa na bado haija achia, nguvu za giza na kupelekea maisha kuanza kuwa magumu na shughuli zako kutokwenda vizuri, ndio maana utagundua wanao pitia magumu katika maisha matumbo yao lazima usikie yana nguruma, sasa namna ya kupangua ndio ntamwambia mwemye tatizo dm
 
yanaweza kunguruma kisa njaa mkuu. japo nilikuja kugundua ilikua ni sababu ya kunywa maziwa fresh sijui huwa wanachanganya maji mengi
 
Back
Top Bottom