Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,819
- 2,134
Mkuu tumia dawa inaitwa Gaviscon liquid ni nzuri sana.habarini wanajamvi
.hivi karibuni tumbo langu limekua likijaa gesi na kuunguruma kila siku inayopelekea mpaka nimeanza kuvurunda katika tendo la ndoa.
yoyote anaejua dawa ya tatizo hili naomba anisaidie au kwa ushauri.
asante mkuuMkuu tumia dawa inaitwa Gaviscon liquid ni nzuri sana.
Nahisi minyoo lakini nmekunywa dawa ya minyoo hata miezi mitatu bado haijaishaMkuu hapo utakuwa una minyoo.
Mkuu usinywe dawa kwa ugonjwa wa "kuhisi" tu,nenda hospitali ukachekiwe kwanza halafu doctor ndiye atakayekuandikia dawa ya kutumia kutokana na tatizo atakaloligundua.nahis minyoo lkn nmekunywa dawa ya minyoo hata muez mitatu bdo haijaisha
Kweli kabisa mkuu sio kila homa ni malariaMkuu usinywe dawa kwa ugonjwa wa "kuhisi" tu,nenda hospitali ukachekiwe kwanza halafu doctor ndiye atakayekuandikia dawa ya kutumia kutokana na tatizo atakaloligundua.
inaweza kuwa ni ngiri pia wahi hospitali kwa uchunguzi zaidihabarini wanajamvi
.hivi karibuni tumbo langu limekua likijaa gesi na kuunguruma kila siku inayopelekea mpaka nimeanza kuvurunda katika tendo la ndoa.
yoyote anaejua dawa ya tatizo hili naomba anisaidie au kwa ushauri.
sawa mkuuacha kula viporo
asante mkuuinaweza kuwa ni ngiri pia wahi hospitali kwa uchunguzi zaidi
nlkua napiga bao nyingi mfululizo sahiv nikipiga bao moja mpk ije isimame lazma niibembeleze sanaaHebu fafanua hapo ''nimeanza kuvurunda katika tendo la ndoa'' HOW
Habarini wanajamvi hivi karibuni tumbo langu limekua likijaa gesi na kuunguruma kila siku inayopelekea mpaka nimeanza kuvurunda katika tendo la ndoa yoyote anaejua dawa ya tatizo hili naomba anisaidie au kwa ushauri.
Mi napenda 'Mahembe' sanaaaaAcha ula vinywaji vyenye gesi, mapoza, unywe maji yaliyochemshwa, usinywe kwanza maziwa, usile machungwa na mahembe. fanya hivyo kwa wiki 2 ukiona mabadiliko ujue hao ndio maadui wa tumbo lako sasa utaanza kujaribisha kutumia kimoja baada ya kingine ndio utabaini kipi haswa kinacho zalisha gesi nyingi zaidi.
nakwambia yote niliyokutajia yaache kwanza kwa wiki mbili utasikilizia tumbo lako lisipo nguruma basi uanze hatua ya kula kimoja na skuikiliziaMi napenda 'Mahembe' sanaaaa
asante mkuuAcha ula vinywaji vyenye gesi, mapoza, unywe maji yaliyochemshwa, usinywe kwanza maziwa, usile machungwa na mahembe. fanya hivyo kwa wiki 2 ukiona mabadiliko ujue hao ndio maadui wa tumbo lako sasa utaanza kujaribisha kutumia kimoja baada ya kingine ndio utabaini kipi haswa kinacho zalisha gesi nyingi zaidi.
Performance yake ya kuto.mba imeshukaHebu fafanua hapo ''nimeanza kuvurunda katika tendo la ndoa'' HOW