Dawa ya Uhakika ya Kupunguza Uzito Bajeti Ipo, Sitaki Msaada wa Bure

Unataka kutumia dawa na hutaki kufanya mazoezi,hizo dawa ukizianza ujuwe pia pombe ni lazima uache,kwani nyingi zinasababisha uharishe sana,sasa ukiijua tabia ya pombe ambayo husababisha dehydration,iko siku utazimika kwa kukosa maji,ushauri wangu,huo muda unaorudi nyumbani,neda kafanye mazoezi ya kutembea au kukimbia,ukirudi kunywa hiyo brand yako,inaonyesha tu kuwa unapenda misosi,kunywa brand na pombe nyingine hazikulazimishi wewe kula sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…