dawa ya ukimwi yapatikana

dawa ya ukimwi yapatikana

Hatuhitaji dawa tu - ambayo hatuna in the first place-, tunahitaji a paradigm shift in medicine. A sort of escape velocity from the current mire of drug resistance. At this point tukipata dawa in 5 years it is only a matter of time before another strain of HIV will develop resistance, a cat and mouse game.

Acha mimi niishie hapa, ni upotevu wa muda kuongea na mtu wa aina yako. I believe that those in research laboratories has already put that into consideration. Kuna tofauti kubwa kati ya watu wanaoshinda maabara kutafuta tiba na kushinda kwenye mitandao kutafuta umaarufu.

Dawa ya ukimwi itapatikana, kama sio leo basi kesho. Microbes na waendelee kuwa 'dynamic' kama ulivyo mdomo wako, lkn kwa kuwa maradhi yoote yalipatiwa tiba kwa mtindo huu, sioni shaka katika hilo.

Siamini kama una lolote unaloweza kuisaidia dunia kuhusu hili zaidi ya kuchat JF na kupaka wanja. Alamsik!
 
Acha mimi niishie hapa,

Unaishia hapa mara ngapi? Mbonaunajirudia rudia hivi kama CD iliyokuwa scratched?

ni upotevu wa muda kuongea na mtu wa aina yako.

Basi wewe una muda mwingi sana wa kupoteza, maana umejibizana nami sana tu mpaka sasa.

I believe

What you believe is of no consequence, you can believe whatever you want, tell me what you can assert with more than a belief. You can believe Santa Klaus lives on North Pole for all I care. And I wouldn't fault you.

that those in research laboratories has

"Those in research laboratories has" really?

already put that into consideration.

Put what into consideration? Those in reserch lab did not say they have the cure of AIDS, they said they want to test what they have for five years.

Kuna tofauti kubwa kati ya watu wanaoshinda maabara kutafuta tiba na kushinda kwenye mitandao kutafuta umaarufu.

Mimi sitafuti umaarufu, umaarufu unanitafuta mimi. Nilikuwa maarufu bongo nimekimbia umaarufu sasa nimekuwa a hermit recluse. Umaarufu JF? Kama nani?

Dawa ya ukimwi itapatikana, kama sio leo basi kesho. Microbes na waendelee kuwa 'dynamic' kama ulivyo mdomo wako, lkn kwa kuwa maradhi yoote yalipatiwa tiba kwa mtindo huu, sioni shaka katika hilo.

Lakini haijapatikana bado, na headline ya Mwananchi imekaa ki tabloid.

Siamini kama una lolote unaloweza kuisaidia dunia kuhusu hili zaidi ya kuchat JF na kupaka wanja. Alamsik!

Mpaka hapo nishakusaidia kujua maana ya "silver bullet" Mwana usiye shukurani.

Kama unataka kuwa anti-pope, at least do the homework ujue hata "silver bullet" ni nini.

Otherwise unaleta mismatch.
 
Matibabu ya magonjwa tofauti yaligunduliwa kwa njia tofauti, kwa majibu maalum toa swali maalum.

Lakini koote huko dawa hazikutangazwa kuwa dawa kabla ya majaribio. Majaribio ni kanuni ya msingi kabisa ya sayansi.

Kati ya mimi ninayekataa kukubali kirahisi na hao wanaokubali kirahisi kwamba wamepata dawa ya UKIMWI nani anajifanya anajua sana namna UKIMWI unavyobadilika?

Hao mnaowanukuu wenyewe wanawaambia wanahitaji miaka mitano ya majaribio, nyie watu wa kupewa dawa tu mshaanza kushangilia dawa ya UKIMWI imepatikana? Wakija kuwaambia baada ya mwaka mmoja wa majaribio tulikosea, tulifanya assumptions ambazo katika majaribio zimeonekana si kweli, mtasemaje? Mtaendelea kusema "dawa ya UKIMWI imepatikana"?

It ain't over til it's over. Unashangilia ushindi kabla ya dakika 90?

Wanajua, ndo maana hawajasema dawa ya UKIMWI imepatikana, wamesema wanahitaji miaka mitano kufanya majaribio.

Ukiniona mie mja mtwana dhalili kama nina akili sana ni kwa sababu tu labda wewe ni mwanagenzi zaidi, si kwa sababu mimi nina akili sana /s .

we bwana mkubwa acha kuchanganya watu dawa za kupunguza makali zilipotikana zilitangazwa hivi na mda wa utafiti uliwekwa ili kujua side effect tu
 
we bwana mkubwa acha kuchanganya watu dawa za kupunguza makali zilipotikana zilitangazwa hivi na mda wa utafiti uliwekwa ili kujua side effect tu

Dawa za kupunguza makali ya UKIMWI au a dawa za UKIMWI?

Hata Cofta inaweza kuwa dawa ya kupunguza makali ya TB lakini si dawa ya TB.
 
Dawa za kupunguza makali ya UKIMWI au a dawa za UKIMWI?

Hata Cofta inaweza kuwa dawa ya kupunguza makali ya TB lakini si dawa ya TB.

yaani username yako inaendana na majibu unayoyatoa
 
yaani username yako inaendana na majibu unayoyatoa

Don't judge a book by its cover.

Hujajibu masuala muhimu yaliyoletwa.

Kusema dawa ya UKIMWI imepatikana wakati majaribio hayajamalizika ni kiranga kushinda majibu ya kiranga ya Kiranga.
 
Don't judge a book by its cover.

Hujajibu masuala muhimu yaliyoletwa.

Kusema dawa ya UKIMWI imepatikana wakati majaribio hayajamalizika ni kiranga kushinda majibu ya kiranga ya Kiranga.

hata sijui unachobisha ni nini mpaka naona uvivu kubishana na wewe labda nikusaidie dawa imepatikana na inaonesha inao uwezo wa kuua kabisa virus totauti na arv ambayo haina uwezo wa kuua virus miaka 5 ni ya utafiti tu wa kujua side effect
 
Dawa gani imepatikana? Hii wanayosema wanafanya majaribio ya miaka mitano?

Au ile iliyomfanya mfaransa aue vijidudu vyote na kubaki hana HIV bila kuendelea kutumia dawa?

Au aliyopewa mtoto aliyezaliwa kaambukizwa HIV wakamuoverdose akaja kuonekana hana HIV?

Unafahamu kuna strains ngapi zinazojulikana za HIV? Na tofauti zake ni zipi? Na maendeleo ya evolution yake yanaendaje?

Hiyo dawa unayosema imeandikwa wapi? Mtandao unao, nipe link.
 
ingia google andika hiv cure from denish doctor
 
Imeishia wapi hii? Bado tupo kwenye foleni tunaisubiria,au tuendelee kumwamini Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom