Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Hatuhitaji dawa tu - ambayo hatuna in the first place-, tunahitaji a paradigm shift in medicine. A sort of escape velocity from the current mire of drug resistance. At this point tukipata dawa in 5 years it is only a matter of time before another strain of HIV will develop resistance, a cat and mouse game.
Acha mimi niishie hapa, ni upotevu wa muda kuongea na mtu wa aina yako. I believe that those in research laboratories has already put that into consideration. Kuna tofauti kubwa kati ya watu wanaoshinda maabara kutafuta tiba na kushinda kwenye mitandao kutafuta umaarufu.
Dawa ya ukimwi itapatikana, kama sio leo basi kesho. Microbes na waendelee kuwa 'dynamic' kama ulivyo mdomo wako, lkn kwa kuwa maradhi yoote yalipatiwa tiba kwa mtindo huu, sioni shaka katika hilo.
Siamini kama una lolote unaloweza kuisaidia dunia kuhusu hili zaidi ya kuchat JF na kupaka wanja. Alamsik!