Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhakika maana nimepima muda kidogo, nina wasiwasi tu na mashine
za saluni, vinginevyo niko safe maana ni mwaka mmoja na nusu sasa sijaendesha
gari.
Jamani, hivi wameishia wapi wale madaktari wawili
wa kimarekani ambao ilikuwa inasemekana wamegundua
dawa ya ukimwi?
Mbona jambo lenyewe limezimika gafla kama kibatari kilichoishiwa
mafuta?
Ni kweli dawa ipo na inaendelea kufanyiwa utafiti au ilikuwaje?
Jamani, hivi wameishia wapi wale madaktari wawili
wa kimarekani ambao ilikuwa inasemekana wamegundua
dawa ya ukimwi?
Mbona jambo lenyewe limezimika gafla kama kibatari kilichoishiwa
mafuta?
Ni kweli dawa ipo na inaendelea kufanyiwa utafiti au ilikuwaje?
Mkuu dawa ipo na wala sio leo wala jana more than ten years ago wale watafit wa kimarekani kuna mabo fllan yalikatazwa thus why unaona kimya, ila kama umewahi kusikia kule hosptal hususan regiona na za rufaa kuna dawa ambazo madokta wakimuhudumia muathirika na wenyewe wakajiambukiza kupitia mgonjwa huyo huitumia hiyo ingawa huwa siri sana, lakin waza tangazo la dawa ya ukimwi jinsi litakavyowaondoa watu kwenye ajira na miradi mingapi itafungwa wazia mirad kama vile MKAPA FONDATION, RFA, TUNAJALI, TACAIDS, RESTLESS DEVELOPMENT (ZAMANI SPW) AMREF, USAID, THE DREAM FORUM nk nk ni mengi ambayo yoooote yana ufadhili toka huko huko, sasa dawa ikipatikana unafikiri wazungu wangapi watarudi kule kwao bila ajira? kwaiyo sasaivi ni kujilinda tu, kama hujaambukiza jilinde na kama unao pls jitahidi usipate maambukizi mapya kwani utawahi kuzorota kiafya. pia kupima ni bora zaidi walau weka utaratibu wa kuchek afya full yaan kwa mwaka hata marambili na ilo dudu pia unalichek, coz skuiz watu wanapigwa mastroke kumbe hawajijui kama walikua na low au high pressure.
naomba kuwasilisha.
how can one be careful with our daily vehicles accidents ending in blood mixing?