Dawa ya ukimwi.

Dawa ya ukimwi.

Sina uhakika maana nimepima muda kidogo, nina wasiwasi tu na mashine
za saluni, vinginevyo niko safe maana ni mwaka mmoja na nusu sasa sijaendesha
gari.

Ina maana muda wote huo umekuwa ikijipiga self service.
 
Jamani, hivi wameishia wapi wale madaktari wawili
wa kimarekani ambao ilikuwa inasemekana wamegundua
dawa ya ukimwi?

Mbona jambo lenyewe limezimika gafla kama kibatari kilichoishiwa
mafuta?

Ni kweli dawa ipo na inaendelea kufanyiwa utafiti au ilikuwaje?

Mdudu inaelekea bado ataendelea kusumbua kwa muda mrefu. Uhakika wa kupata dawa siku za karibuni haupo.
Ukifuatilia research wanazozifanya hao wataalam utangundua kuwa muda wa kupatikana dawa bado sana.

HIV ana uwezo mkubwa wa kutafuta ufumbuzi kwa kila challenge anayopewa.
 
Jamani, hivi wameishia wapi wale madaktari wawili
wa kimarekani ambao ilikuwa inasemekana wamegundua
dawa ya ukimwi?

Mbona jambo lenyewe limezimika gafla kama kibatari kilichoishiwa
mafuta?

Ni kweli dawa ipo na inaendelea kufanyiwa utafiti au ilikuwaje?

Mkuu dawa ipo na wala sio leo wala jana more than ten years ago wale watafit wa kimarekani kuna mabo fllan yalikatazwa thus why unaona kimya, ila kama umewahi kusikia kule hosptal hususan regiona na za rufaa kuna dawa ambazo madokta wakimuhudumia muathirika na wenyewe wakajiambukiza kupitia mgonjwa huyo huitumia hiyo ingawa huwa siri sana, lakin waza tangazo la dawa ya ukimwi jinsi litakavyowaondoa watu kwenye ajira na miradi mingapi itafungwa wazia mirad kama vile MKAPA FONDATION, RFA, TUNAJALI, TACAIDS, RESTLESS DEVELOPMENT (ZAMANI SPW) AMREF, USAID, THE DREAM FORUM nk nk ni mengi ambayo yoooote yana ufadhili toka huko huko, sasa dawa ikipatikana unafikiri wazungu wangapi watarudi kule kwao bila ajira? kwaiyo sasaivi ni kujilinda tu, kama hujaambukiza jilinde na kama unao pls jitahidi usipate maambukizi mapya kwani utawahi kuzorota kiafya. pia kupima ni bora zaidi walau weka utaratibu wa kuchek afya full yaan kwa mwaka hata marambili na ilo dudu pia unalichek, coz skuiz watu wanapigwa mastroke kumbe hawajijui kama walikua na low au high pressure.
naomba kuwasilisha.
 
Mkuu umenipa jibu la kuridhisha sana. Ngoja nisubiri madaktari waje
kuthibitisha hilo.
 
Bado haijapatikana mpaka biashara ya sasa ifikie malengo ya utajiri kusudiwa na wakubwa (capitalists).
 
Back
Top Bottom