Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Sio jambo la kificho tena, kuwa timu kubwa hapa nchini zinapendelewa na waamuzi waziwazi..
Timu ndogo zinafahamu hili, Mashabiki tunajua hili, Wachezaji na makocha wanajua hili,
Media zote wanajua hili, TFF inalijua jambo hili,
Malalamiko haya yamekuwepo miaka nenda rudi. Lakini kwa nyakati hizi imekuwa too much.
Sasa ili kukomesha hili janga kwa manufaa mapana ya Ligi,
Timu ndogo ambao ndio Wahanga wa hili tatizo waitane, Watishie, na kama hawatasikilizwa; Wasusie kuendelea na mechi zilizobaki...hadi watakapo-hakikishiwa kutendewa haki zao.
Zipo timu 16 kwenye ligi hii. Kati ya hizo timu ndogo ni 13.
In either case, LAZIMA watasikilizwa, tena kwa kubembelezwa.
Na huu uhuni utakuwa umekomeshwa. Ni woga wao tu.
Hizi timu kubwa; Zina wachezaji wa gharama, Wanaolipwa mishahara minono, Wana mashabiki,
Wana wadhamini, Wanawafadhili, Wana kila kitu...
Kwanini wasiachwe washinde Kwa uwezo wao au advantages zao?
Yaani pamoja na benefits zote hizo, bado mkamtegemee refa ili uifunge timu kama Pamba ambayo haina chochote, sio tu uonevu bali ni laana.