Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Very true mpira ni mchezo wa hadharani,nadhani ni muhimu zaidi kwa timu zote kufanya mazoezi ya kisasa ili kucheza mpira wa kisasa hata hujuma za makusudi kabisaa za waamuzi na uongozi wa soka nchini zisifue dafu dhidi ya timu yoyote pinzani inayo hujumiwa š
hizo timu ambazo mwandishi anasema zinaonewa zijiahidi kufunga magoli halali kwa wingi uwanjani...
Kuna kocha mmoja mkongomani alipo ona refa anapendelea timu pinzani.
Alitamka kwa lafudhi mbovu ya kikongo ""BATAOKOTA BENYEWE KUNYAVU""
TIMU ZIJITAHIDI KUTUMIA HII FALSAFA YA ""BATAOKOTA BENYEWE KUNYAVU""
Timu zipambane kupata matokeo hata Kama refa hayupo fair kwao naunga mkono hoja yako

