Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Very true mpira ni mchezo wa hadharani,nadhani ni muhimu zaidi kwa timu zote kufanya mazoezi ya kisasa ili kucheza mpira wa kisasa hata hujuma za makusudi kabisaa za waamuzi na uongozi wa soka nchini zisifue dafu dhidi ya timu yoyote pinzani inayo hujumiwa 🐒
Zimeridhika itakuwa maana hata viongozi wao ni mashabiki wa hizi timu mbili za kariakooSio jambo la kificho tena, kuwa timu kubwa hapa nchini zinapendelewa na waamuzi waziwazi..
Timu ndogo zinafahamu hili, Mashabiki tunajua hili, Wachezaji na makocha wanajua hili,
Media zote wanajua hili, TFF inalijua jambo hili,
Malalamiko haya yamekuwepo miaka nenda rudi. Lakini kwa nyakati hizi imekuwa too much.
Sasa ili kukomesha hili janga kwa manufaa mapana ya Ligi,
Timu ndogo ambao ndio Wahanga wa hili tatizo waitane, Watishie, na kama hawatasikilizwa; Wasusie kuendelea na mechi zilizobaki...hadi watakapo-hakikishiwa kutendewa haki zao.
Zipo timu 16 kwenye ligi hii. Kati ya hizo timu ndogo ni 13.
In either case, LAZIMA watasikilizwa, tena kwa kubembelezwa.
Na huu uhuni utakuwa umekomeshwa. Ni woga wao tu.
Hizi timu kubwa; Zina wachezaji wa gharama, Wanaolipwa mishahara minono, Wana mashabiki,
Wana wadhamini, Wanawafadhili, Wana kila kitu...
Kwanini wasiachwe washinde Kwa uwezo wao au advantages zao?
Yaani pamoja na benefits zote hizo, bado mkamtegemee refa ili uifunge timu kama Pamba ambayo haina chochote, sio tu uonevu bali ni laana.
Hujuma, (sabotage), nyie mnaita match fixing, vile vile Kuna njia nyingi za kuua panya unaweza weka ndoo ya maji akitumbukia humo anakufa ama sumu, mtego wa kumnasa mzima akafa kwa njaa, gundi huu wa gundi ukimnasa usiku panya. akiwa mkubwa atakukuruka hadi achomoke labda na wewe uweponadhani ni muhimu zaidi kwa timu zote kufanya mazoezi ya kisasa ili kucheza mpira wa kisasa hata hujuma za makusudi kabisaa za waamuzi na uongozi wa soka nchini zisifue dafu dhidi ya timu yoyote pinzani inayo hujumiwa 🐒
ni muhimu sana ""BAOKOTE BENYEWE KUNYAVU""Very true mpira ni mchezo wa hadharani,
hizo timu ambazo mwandishi anasema zinaonewa zijiahidi kufunga magoli halali kwa wingi uwanjani...
Kuna kocha mmoja mkongomani alipo ona refa anapendelea timu pinzani.
Alitamka kwa lafudhi mbovu ya kikongo ""BATAOKOTA BENYEWE KUNYAVU""
TIMU ZIJITAHIDI KUTUMIA HII FALSAFA YA ""BATAOKOTA BENYEWE KUNYAVU""
Timu zipambane kupata matokeo hata Kama refa hayupo fair kwao naunga mkono hoja yako
Hujui boli wewenadhani ni muhimu zaidi kwa timu zote kufanya mazoezi ya kisasa ili kucheza mpira wa kisasa hata hujuma za makusudi kabisaa za waamuzi na uongozi wa soka nchini zisifue dafu dhidi ya timu yoyote pinzani inayo hujumiwa 🐒
Eapecialy when people colludeHujuma, (sabotage), nyie mnaita match fixing, vile vile Kuna njia nyingi za kuua panya unaweza weka ndoo ya maji akitumbukia humo anakufa ama sumu, mtego wa kumnasa mzima akafa kwa njaa, gundi huu wa gundi ukimnasa usiku panya. akiwa mkubwa atakukuruka hadi achomoke labda na wewe uwepo
Mifano hii inajaribu kufikisha ujumbe kwamba kwenye watu wengi huwezi kukomesha uhalifu Bali kudhibiti,
Similarly where there are many people you can not stop stealing or corruption but you can control
Hapo ndio tatizo lilipo.Zimeridhika itakuwa maana hata viongozi wao ni mashabiki wa hizi timu mbili za kariakoo
nadhani ni muhimu zaidi kwa timu zote kufanya mazoezi ya kisasa ili kucheza mpira wa kisasa hata hujuma za makusudi kabisaa za waamuzi na uongozi wa soka nchini zisifue dafu dhidi ya timu yoyote pinzani inayo hujumiwa 🐒
Tarehe 8 tunamtaka kayoko wetu bila yeye tutakuwa na wakati mgumu sanakweli kabisa, me ni timu yangu ni Yanga ila mpira uchezwe sio upendeleo wa wazi.....
pamoja na lawama na pengine hujuma,Kwahiyo wewe lawaza zote hizi zinazosemwa kwako ni uongo braza.
Achana na mechi za timu yako, ongelea sasa zile upande mwingine.
Hapo ndio tatizo lilipo.
No selection.Indeed.Mbona nyie mnawahujumu CDM?
Naungana na mleta uzi. Mgomo ni kitu sahihi kama ambavyo tuna slogan ya "No reform, no selection"