Dawa ya UTI sugu kwa anayejua

Dawa ya UTI sugu kwa anayejua

Jomt

Senior Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
137
Reaction score
50
Msaada wa dawa ya uhakika jamani....naamini nina UTI sugu kwa maana kila ninapokuwa Faragha na wife baada ya muda anahisi kuwashwa na akipina anapatikana na UTI. Kuna wakati mimi napata burning sensation pia ila nikipima hakuna kitu!! Naombeni ushauri pia kwa wabobezi.
 
Ulijuaje ni uti bila kupimwa? Nenda hospital mwambie dokta shida yako atakusaidia
Kunywa maji ya madafu changanya na ndim ni dawa nzuri tu
 
Msaada wa dawa ya uhakika jamani....naamini nina UTI sugu kwa maana kila ninapokuwa Faragha na wife baada ya muda anahisi kuwashwa na akipina anapatikana na UTI. Kuna wakati mimi napata burning sensation pia ila nikipima hakuna kitu!! Naombeni ushauri pia kwa wabobezi.
Kapimeni wote UTI ili ikithibitika mtumie dawa wote, unaweza kuta ni fungus, ndio maana ukipima huoni kitu!
Mkipima wote hata km ni fungus mbaweza ambiwa mkienda sehemu ya uhakika!
Pia:
1.Kunywa dawa bila kupima ni hatari, unaweza kupata usugu wa dawa.
2.Unaweza pata tiba isiyosahihi ukapata ugumba au utasa
 
Pole kwa tatizo la U.T.I linalokusumbua kwa muda mrefu embu tumia hizi dawa afu ulete mrejesho mkuu;

Treatment:
  • First Line: Tumia Amoxycillin (O) 250 mg kila baada ya masaa 8 kwa muda wa siku tano au tumia Trimethoprim (O) 300mg mara moja kwa siku tano zingatia kumeza na Folic acid (O) 5 mg (multivitamin) mara moja kwa siku tano
  • Second Line: Nalidixic acid (O) 100 mg kila baada ya masaa 6 kwa siku tano hakikisha umekula ukashiba kabla ya kumeza dawa hii
Kila la kheri mkuu........
 
Back
Top Bottom