Msaada wa dawa ya uhakika jamani....naamini nina UTI sugu kwa maana kila ninapokuwa Faragha na wife baada ya muda anahisi kuwashwa na akipina anapatikana na UTI. Kuna wakati mimi napata burning sensation pia ila nikipima hakuna kitu!! Naombeni ushauri pia kwa wabobezi.