Dawa ya vidonda kooni

Dawa ya vidonda kooni

mongah

New Member
Joined
Jun 29, 2024
Posts
4
Reaction score
2
Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo.

Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao.

Au hata ya hospitali ni sawa

Note: Mi sijawahi kuenda chumvini hivo usiangaike kutoa comment kwa hili.
 
Pole sana.

Vidonda vya kooni huashiria magonjwa mengi si tonsils (tonsillitis) tu. Pia kuna kipimo cha kuangalia kuanzia kwenye kinywa, koo la chakula na tumboni, kinaitwa OGD.

Kwa hiyo ushauri wangu ni kwamba uende hospital ukafanyiwe vipimo hasa OGD, pia ni muhimu ukapima afya yako kwa ujumla na kama unatumia pombe au kuvuta sigara inabidi uepuke, vinginevyo naamini utapatiwa matibabu sahihi baada ya kubaini tatizo linalokusumbua.
Kila la kheri.
 
Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo.

Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao.

Au hata ya hospitali ni sawa

Note: Mi sijawahi kuenda chumvini hivo usiangaike kutoa comment kwa hili.
🤣 umekabia juu sana mkuu
 
Pole sana...chukua chumvi ya magadi ingekuwapoa km utapata chumvi fulani iko km magadi mbeya wao wanaita emaline salt weka kwenye kikombe kijiko au nusu kijiko chukua shabu robo kijiko changanya kwnye maji kikombe cha chai then kunywa asubuh na jioni fanya hvyo kwa siku 7 then leta majibu hapa.
 
pole sana nenda hosp kubwa kuna sindano watakuchoma Amoxicillin Sodium na Clavulanate Potassium. niliwahi kuumwa najua maumivu yake pole sana. usiende vi hosp uchwara. kikubwa jiandae kutoboka kipesa. lakini kabla ya yote onana na specialist ENT akuchunguze vema.
 
Vimeanza lini na una muda gani? Ni baada ya kutoa hizo tezi au umetoa siku nyingi? Nadhani hospital ndiyo sehemu sahihi kwa sababu inaweza kuwa una infection kooni.
 
Kujifukiza ni alfu tano tu muhimbili, kuna wimbi kali la mafua na koo kukata pamoja na homa linapita
1000015831.jpg
 
Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo.

Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao.

Au hata ya hospitali ni sawa

Note: Mi sijawahi kuenda chumvini hivo usiangaike kutoa comment kwa hili.
. Umejuaje kama unavidonda kooni??

. Hizo tonsil umetoa kwa njia ipi??

. Hizo hospital ambazo hazieleweki walikupa tiba ipi/dawa gani ulipewa??,

. Hilo tatizo lina mda gani mpaka sasa??
 
Nimeona kwa kioo, napata maumivu na nilienda hospital kwa ENT akaconfirm hilo

Nimefanya tonsillectomy hospital

Dawa nimepewa nyingi sana zikiwemo Amoxiclav, vingine vidonge vidogodogo kama 2 months, na za vidonda vya tumbo jina limentoka kidogo

Mwaka kwa sasa
 
Hospital ipi je haswa maana
pole sana nenda hosp kubwa kuna sindano watakuchoma Amoxicillin Sodium na Clavulanate Potassium. niliwahi kuumwa najua maumivu yake pole sana. usiende vi hosp uchwara. kikubwa jiandae kutoboka kipesa. lakini kabla ya yote onana na specialist ENT akuchunguze vema.
nyingine nimeenda na ni kubwa hapa DSM
 
Nitajitahidi
Pole sana...chukua chumvi ya magadi ingekuwapoa km utapata chumvi fulani iko km magadi mbeya wao wanaita emaline salt weka kwenye kikombe kijiko au nusu kijiko chukua shabu robo kijiko changanya kwnye maji kikombe cha chai then kunywa asubuh na jioni fanya hvyo kwa siku 7 then leta majibu hapa.
ngoja nifanye hili
 
Back
Top Bottom