Pole sana.Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo.
Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao.
Au hata ya hospitali ni sawa
Note: Mi sijawahi kuenda chumvini hivo usiangaike kutoa comment kwa hili.
🤣 umekabia juu sana mkuuNahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo.
Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao.
Au hata ya hospitali ni sawa
Note: Mi sijawahi kuenda chumvini hivo usiangaike kutoa comment kwa hili.
Hahah🤣 umekabia juu sana mkuu
🤣🤣Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo
Note: Mi sijawahi kuenda chumvini hivo usiangaike kutoa comment kwa hili.
pole sana nenda hosp kubwa kuna sindano watakuchoma Amoxicillin Sodium na Clavulanate Potassium. niliwahi kuumwa najua maumivu yake pole sana. usiende vi hosp uchwara. kikubwa jiandae kutoboka kipesa. lakini kabla ya yote onana na specialist ENT akuchunguze vema.Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo.
Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao.
Au hata ya hospitali ni sawa
Note: Mi sijawahi kuenda chumvini hivo usiangaike kutoa comment kwa hili.
Vimeanza lini na una muda gani? Ni baada ya kutoa hizo tezi au umetoa siku nyingi? Nadhani hospital ndiyo sehemu sahihi kwa sababu inaweza kuwa una infection kooni.Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo.
Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao.
Au hata ya hospitali ni sawa
Note: Mi sijawahi kuenda chumvini hivo usiangaike kutoa comment kwa hili.
. Umejuaje kama unavidonda kooni??Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo.
Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao.
Au hata ya hospitali ni sawa
Note: Mi sijawahi kuenda chumvini hivo usiangaike kutoa comment kwa hili.
Nimeona kwa kioo, napata maumivu na nilienda hospital kwa ENT akaconfirm hilo. Umejuaje kama unavidonda kooni??
. Hizo tonsil umetoa kwa njia ipi??
. Hizo hospital ambazo hazieleweki walikupa tiba ipi/dawa gani ulipewa??,
. Hilo tatizo lina mda gani mpaka sasa??
nyingine nimeenda na ni kubwa hapa DSMpole sana nenda hosp kubwa kuna sindano watakuchoma Amoxicillin Sodium na Clavulanate Potassium. niliwahi kuumwa najua maumivu yake pole sana. usiende vi hosp uchwara. kikubwa jiandae kutoboka kipesa. lakini kabla ya yote onana na specialist ENT akuchunguze vema.
ngoja nifanye hiliPole sana...chukua chumvi ya magadi ingekuwapoa km utapata chumvi fulani iko km magadi mbeya wao wanaita emaline salt weka kwenye kikombe kijiko au nusu kijiko chukua shabu robo kijiko changanya kwnye maji kikombe cha chai then kunywa asubuh na jioni fanya hvyo kwa siku 7 then leta majibu hapa.