Dawa za ARV ziondolewe ili kuondoa janga la UKIMWI Duniani

BMW P9

Member
Joined
Feb 19, 2022
Posts
66
Reaction score
87
Habarini za usiku wapendwa

Kama jinsi kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi naona njia pekee ya kuondoa ukimwi duniani ni kuondolewa kwa dawa za kufubaza virusi au kwa jina jingine ARV kwasababu watu wanatumia hizo dawa wanakua na mionekano mizuri kisha wanaendelea kusambaza kwa wengine sasa.

Kwa mwendo huo virusi havitaisha hapa ni hizo dawa ziondolewe tu au kama kweli wanaozitengeneza wana nia njema basi watengeneze chanjo au dawa ya kutibu kabisa

Naomba kuwasilisha.
 
Sasa na sie tulioambukizwa sii tunatakiwa tuwaambukize wengi...wee vipi bwana. Tunamalizana hapa hapa duniani.
 
Una umri gani???
 
Kama kweli wanaozitengeneza wana nia njema

HAWANA NIA NJEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…