Dawa za ARV ziondolewe ili kuondoa janga la UKIMWI Duniani

Dawa za ARV ziondolewe ili kuondoa janga la UKIMWI Duniani

Nani aliekuambia usipokunywa ARV ndio utajionesha?
Concept ni kinga na sio ugonjwa
Unajua kazi za ARV
IKIWA UTAFUATA KANUNI NA MLO MAMILI WALA HIZO HAZINA KAZI
Jidanganye 😂😂😂
 
Kama wote tukichukua tahadhari basi maambukizi yatapungua mpaka kuisha.
Tahadhari kwenye mapenzi ni tahadhari ipi na unaichukuaje ukiisha kutamani?

Kutongozwa na kutolea nje, kuvaa condom wakati wa kujamiiana au kufanyaje?

Je njia hizo ndiyo tahadhari?

Bado haujanishibisha kwenye hilo neno "tahadhari" lina maana gani kwenye ufanyaji wa mapenzi!
 
Sasa mpira sii bora nipige nyeto tuu...sayansi ilishathibitisha kuwa ukigeggeda kwa condom utamu unapungua kwa zaidi ha asilimia 30. Siwezi kukubali hasara ya kiwango hicho ukizingatia lodge, chakula, usafir na kifuta jasho ni juu yangu🤣🤣🤣🤣🤣
😆aisee
 
Tahadhari kwenye mapenzi ni tahadhari ipi na unaichukuaje ukiisha kutamani?

Kutongozwa na kutolea nje, kuvaa condom wakati wa kujamiiana au kufanyaje?

Je njia hizo ndiyo tahadhari?

Bado haujanishibisha kwenye hilo neno "tahadhari" lina maana gani kwenye ufanyaji wa mapenzi!
Bado nazikumbuka sana njia zilizokuwa zikihimizwa wakati ule wa kampeni za kuzuia maambukizi ya UKIMWI nazo si zingine bali ni ABC
A- Abstain
B- Be faithful
C- Condom
Kwa sasa naongezea na kupima afya kabla ya kuanzisha mahusiano mapya.
 
images.jpg
Unataka nini
 
Habarini za usiku wapendwa

Kama jinsi kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi naona njia pekee ya kuondoa ukimwi duniani ni kuondolewa kwa dawa za kufubaza virusi au kwa jina jingine ARV kwasababu watu wanatumia hizo dawa wanakua na mionekano mizuri kisha wanaendelea kusambaza kwa wengine sasa.

Kwa mwendo huo virusi havitaisha hapa ni hizo dawa ziondolewe tu au kama kweli wanaozitengeneza wana nia njema basi watengeneze chanjo au dawa ya kutibu kabisa

Naomba kuwasilisha.
Una wazimu kweli wewe
 
Umeandika haya maoni yako ukiwa na njaa, au ulikuwa tayari umekandamiza?
 
Kuna kadokta Fulani uchwara kama wewe kalikufa kwa mateso katika umri mdogo kisa kilikuwa na Imani modern medicine ni kuongeza sumu mwilini.

Endelea na upunguani wako.
Usiwe pimbi wewe. Toka lini huo mnaoita ukimwi ukamwondoa mtu katika umri mdogo kisa kakwepa kumeza dawa!!! Huyo alikuwa anaumwa ugonjwa unaoeleweka kabisa ila kwa umbulula wenu mkasingizia ni HIV wakatati ukimwi wenyewe unatibika vizuri tu
 
ARV ndiyo inapunguza maambukizi na ni njia ya kumaliza HIV....tatizo ni wajinga wachache kama wewe msiotumia dawa ndiyo mmebakia kuambukiza wengine.
Sio kweli hapa ukweli ni kwamba izo ARV zimewekwa ili biashara iendelee kuwepo waendelee kuwauzia dawa tu na kwa taarifa yako ata vipimo vya hao virus havitoi majibu ya ukweli kwa wakati kwaio unaweza kutana na mtu ukajidai kumpima leo kumbe kapewa wiki moja iliyopita kipimo kinaonyesha hana then anakupa na wewe mwiso wa siku wanawaita wawape izo dawa ambazo ni biashara endelevu
 
Ujinga nacho ni kipaji. Wewe waka halafu usitumie dawa.
 
Back
Top Bottom