Nipo hapa kwenye dozi ya bubeji, huku nikisukumia na ile ya Dr. Gwajima!
Hongera Sana awamu ya tano kuturejesha edeni ya mababu zetu!
Kupigana vita na pharmaceutical empire kunataka moyo!
Hii ni made in NIMRNimeipenda hii "Bupeji."
Je ni made in Chatto?
Ofisi zipo gambosh avenue jjrani na ilipokuwa PPF TOWERNimeipenda hii "Bupeji."
Je ni made in Chatto?
NIMR CAF
Nenda Mabibo External Walipo TMDA Ni Majirani
Dodoma Unawapata Benjamin Mkapa Hospital
Muhimbili National Hospital Nao Wana Dawa Yao
Fika Kitengo Cha Tiba Asili
Tanzania Tupo Salama
Jina la kisukuma,ina maana uponyaji.Nimeipenda hii "Bupeji."
Je ni made in Chatto?
MkuuAsante kwa taarifa.
Hatuna order zozote japo za "Bupeji" tokea hata kwa majirani zetu? Japo tuseme mabeberu wanatuonea gere kujifanya hawaitaki huku wanaitaka?
Vipi na wale wenzetu wa Madagascar? Mh. Kabudi hajawakumbuka japo kwa dozi chache?
Walitufaaga hao wakati wa dhiki!
Mabibi na mabwana kwa mujibu wa Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli dawa za Corona hazipo huko nje tu...
WHO wasiposema basi haitibu. AiseeMkuu jamaa ni muongo wa kutupa. Hizi dawa za kutibu corona zimethibitishwa na WHO kama zinatibu corona au ni mambo ya KUKURUPUKA!?
WHO wasiposema basi haitibu. Aisee
Ile ya madagascar iliwafaa zaidi pale chatoni ingawa mzee wa jalalani alipiga funda za kutosha palepale kabla haijapanda ndege...Asante kwa taarifa.
Hatuna order zozote japo za "Bupeji" tokea hata kwa majirani zetu? Japo tuseme mabeberu wanatuonea gere kujifanya hawaitaki huku wanaitaka?
Vipi na wale wenzetu wa Madagascar? Mh. Kabudi hajawakumbuka japo kwa dozi chache?
Walitufaaga hao wakati wa dhiki!
Achana nae mkuu yeye anafikiri kichama zaidi akiimba na kusifu kila neno litokalo kwa mtukufu wa chattleSasa kama inatibu kwanini WHO wasiithibitishe ili Tanzania ikatengeneza kwa wingi na hivyo kuiuza kwa nchi mbali mbali duniani na kujiingizia $$$ in trillions!!!! Think outside the box!!
Kwa Dawa ya Bupeji, mgunduzi wa dawa hiyo anapatikana ofisi za SIDO Upanga au unaweza kumpata kwa namba ya simu 0754 343478. Binafsi nina ushuhuda wa watu ambao washawai tumia hii dawa ikawasaidia.Mabibi na mabwana kwa mujibu wa Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli dawa za Corona hazipo huko nje tu.
Amenukuliwa Dr. Magufuli akisema, "Tanzania ina dawa nyingi za kutibu Corona." Ameendelea zaidi kwa kusema, "katika dawa hizo tuna Covido na Bupeji ambazo zina uwezo wa kutibu Corona kwa kiwango cha 99.99999%.
Tufahamishane jamani ni wapi dawa hizi hasa hii ya "Bupeji" zinapatikana wapi?
Ninawasilisha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asante kwa taarifa.