Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,349
- 3,046
[emoji848][emoji848][emoji848]Tafadhali.., ebu ngoja kwanza....., Kwahio kuna dawa inayotibu virus.., sio kuongeza / kuimarisha kinga bali inatibu ?.., Haya tuyaache hayo..., nashukuru kuna hio dawa, sasa je hio dawa imepimwa kwa watu wangapi kujua ufanisi wakati hata Covid hatuna nchini ?
Mgonjwa wa bipolar disorder naona sasa ugonjwa umefika at the maximum.Sasa kama inatibu kwanini WHO wasiithibitishe ili Tanzania ikatengeneza kwa wingi na hivyo kuiuza kwa nchi mbali mbali duniani na kujiingizia $$$ in trillions!!!! Think outside the box!!
Kwa Dawa ya Bupeji, mgunduzi wa dawa hiyo anapatikana ofisi za SIDO Upanga au unaweza kumpata kwa namba ya simu 0754 343478. Binafsi nina ushuhuda wa watu ambao washawai tumia hii dawa ikawasaidia.