Dawa za gym/steroids Kwa wasanii na mabaunsa zina hatari za ushoga

Dawa za gym/steroids Kwa wasanii na mabaunsa zina hatari za ushoga

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Kwa kuanza kabisa naomba tutambue wasanii wa bongo fleva wanaotumia dawa za kuchochea misuli gym wanaziita steroids/poda ni pamoja na Diamond, harmonize, jux, calisa, ney wa mitego Hawa ni baadhi ya wasanii wanaotumia dawa za kukuza misuli, ukinywa dawa hizi gym unajazia misuli haraka kwakuwa zinaenda kuchokonoa hormone na kuharibu mfumo mzima.

Tafiti za vichochoroni zimeonesha mabaunsa wengi sana wanajihusisha na vitendo vya kishoga , na hii mara nyingi huchangiwa na madawa ya kula na kuongeza misuli, ambayo mtaani yamezagaa hovyo , hata nashangaa tfda IPO wapi vitu vya ajabu vinaingia kinyemela.

Hivyo jamani tuwe makini sana na haya madawa, gym tuende lakini tufanye mazoezi bila kula virutubishonl vyovyote vya maabara.

Angalia video hapa chini uone mwanahabari anatujulisha jinsi alivyofanya utafiti dar es salaam na kuona spray na madawa yanavyoharibu mabaunsa. Tuweni makini sana pia na vidonge vya P2

Unaishangaa TMDA kivipi?

Kwahiyo kwa taarifa zako za kuokoteza unadhani ndiyo ukweli kuliko wanaoujua mamlaka ya vifaa tiba na dawa.
 
Mtoa mada unadhihirisha ujinga wako na ukosefu wa ufahamu kuwa Whey protein na anabolic steroid ni vitu viwili tofauti. Whey protein ni dietery suppliment kazi yake ni kuongeza concentation level ya testosterone katika misuli husika inayofanyishwa mazoezi na haihusiki kuongeza muscle growth ya sehemu ambayo haifanyishwi mazoezi.

Anabolic steroid ni synthetic drugs (artificial testosterone) mara nyingi huingizwa mwilini kwa kutumia sindano. Hizi zina speed up muscle growth na body mass...unaona mtu anajaa kila kona ya mwili na zina adverse side effects katika mwili wa mwanadamu ...kwa mwanaume hupelekea kupungua kwa size ya korodani,kutoka kwa upara (nywele zinanyonyoka), kutanuka kwa moyo, kuwa aggressive kupitiliza ,uchizi, kansa ya korodani, kupungua kwa uzalishwaji wa manii, kuongezeka kwa shinikizo la damu na kutanuka kwa mishipa ya damu, kupooza n.k pia hupunguza muda wa kuishi wa mwanadamu kwasababu wengi hufa ghafla kabla hata ya kufikisha miaka 50...mfano mzuri ni vifo vya wacheza mieleka wa WWE.

Mfano Chris benoit aliua familia yale yote na yeye kujiua mara baada ya kuwa ni mtumiaji mzuri wa anabolic steroids.

Umaga, big daddy V, Chyna, eddie guererro n.k
 
Nimesikikiza hii press kwa umakini leo, hili jambo ni planned kabisaa, wahusika wamejipanga kutoka kupitia hii press. Sijaona uhalisia wa chochotee kilichozungumzwa dhidi ya futuhi.
 
Shoga

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ni rahisi sana kuongea/kuandika chochote kutokana na akili inavyokutuma, hata wewe una uhakika kuwa ulichoandika huna uhakika nacho, ila ndiyo hivyo umeshatukana.

Kumwambia mwanaume mwenzio hivyo, kisa katofautiana mtazamo na wewe inaumiza sana sema sina namna na huu ndiyo uhuru wa hili jukwaa unaandika utakavyo
 
Nimechoka kwenye sakata la Mzungu na Noel.
Bas na makonda nae yule mzungu CEO wa kampuni Fulani watajwee, maana wanakuwa wote mufa mwingi hadi mikono wanashikanaa.

Futuhi tyuuuuh.
Ina maana ile video anayoonyesha huyo dada vijana wawili na mzungu mmoja ni Noel?sijaona vizuri kulikuwa na ukungu
 
Kwa kuanza kabisa naomba tutambue wasanii wa bongo fleva wanaotumia dawa za kuchochea misuli gym wanaziita steroids/poda ni pamoja na Diamond, harmonize, jux, calisa, ney wa mitego Hawa ni baadhi ya wasanii wanaotumia dawa za kukuza misuli, ukinywa dawa hizi gym unajazia misuli haraka kwakuwa zinaenda kuchokonoa hormone na kuharibu mfumo mzima.

Tafiti za vichochoroni zimeonesha mabaunsa wengi sana wanajihusisha na vitendo vya kishoga , na hii mara nyingi huchangiwa na madawa ya kula na kuongeza misuli, ambayo mtaani yamezagaa hovyo , hata nashangaa tfda IPO wapi vitu vya ajabu vinaingia kinyemela.
Hivyo jamani tuwe makini sana na haya madawa, gym tuende lakini tufanye mazoezi bila kula virutubishonl vyovyote vya maabara.
Angalia video hapa chini uone mwanahabari anatujulisha jinsi alivyofanya utafiti dar es salaam na kuona spray na madawa yanavyoharibu mabaunsa. Tuweni makini sana pia na vidonge vya P2

Wana upinde hao.
 
Watakushambulia sana mtoa mada , mabaunsa wengi hapa mjini ni Bwabwas , kama mamlaka husika hazifanyi thathmin bas tathmini za uchochoroni zitafanya kaz
 
Back
Top Bottom