miamia100 JF-Expert Member Joined Nov 13, 2019 Posts 416 Reaction score 479 Mar 31, 2023 #41 Mkono Mmoja said: PODA ni virutubisho vya protein tu kama unavyoona glucose ilivyo Click to expand... Usalama 100 maanaaaa
Mkono Mmoja said: PODA ni virutubisho vya protein tu kama unavyoona glucose ilivyo Click to expand... Usalama 100 maanaaaa
Pununkila JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 689 Reaction score 1,706 Apr 1, 2023 #42 Bei ya poda mjini inaendaje wakulungwa
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,125 Reaction score 7,373 Apr 1, 2023 #43 Slowly said: Watakushambulia sana mtoa mada , mabaunsa wengi hapa mjini ni Bwabwas , kama mamlaka husika hazifanyi thathmin bas tathmini za uchochoroni zitafanya kaz Click to expand... Kuna baunsa mmoja ukumbi wa sinema Kanda ya ziwa (sitaki kumletea shida kwenye kibalua chake ) Ni mtu wa upinde
Slowly said: Watakushambulia sana mtoa mada , mabaunsa wengi hapa mjini ni Bwabwas , kama mamlaka husika hazifanyi thathmin bas tathmini za uchochoroni zitafanya kaz Click to expand... Kuna baunsa mmoja ukumbi wa sinema Kanda ya ziwa (sitaki kumletea shida kwenye kibalua chake ) Ni mtu wa upinde
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 Apr 1, 2023 #44 Bro wa Keko said: Mwarabu fighter anakuja Click to expand... Utachoka ukiskia nae ana mume
Wilfred Ramadhan JF-Expert Member Joined Apr 7, 2022 Posts 503 Reaction score 905 Apr 1, 2023 #45 babukijana said: Utachoka ukiskia nae ana mume Click to expand... Kwamba anapika biriani😂😂