Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Usipoteze mda wako Mkuu kwa haya mapapai mwitu wazee wa kubadilisha gia angani ni wanafiki hatari kuanzia huyo M/Kiti hadi katibu kata.

Hongera wewe PAPAI la kisasa,maana mapapai mwitu tunajua kujitafutia chakula sasa mapapai ya kisasa sijui mkishapigwa chini mnafanyaje.
 
HUCHOKI TU..
 
Swali lako linalenga nini Kamanda? Unataka niiache CCM kama walivyoiacha Kingunge na Lowasa? Thubutu! Nimeshatoa masharti kwamba taarifa hii ikithibitika ni uongo nahamia rasmi UKAWA

Mkuu, haya mahaba ulionayo na CCM ni ya aina gani? umekuwa mpinga hoja mzuri za ukawa, hata mambo yasiohitaji kupingwa! Mungu akusaidie, ktk kipindi hiki cha kuteua na kutengua, na wewe ukateuliwe kuwa hata mkuu wa wilaya.
 
Anajua anachokifanya huyu ndio litakuwa somo kwa serikali isiyo jali utawala WA kisheria. Sijui wanakulipa nn. Mbona lile kovu LA kutokana billcanas litaponea hapo.. Hamuwajui wAtu WA dili
 
Haha sasa alikuwa anakimbia nini hajui serikali una mkono mrefu ndio ataje nawenzake wanawaomaliza taifa hili kwa madawa
 
Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Boniface Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.
 
Hiyo ni political au ni kuchafuana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…