Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,473
nnnnaaTumia lugha ya taifa tu!!
Samahani sana ila nilikuwa ninawalenga watu maalum humu jamvini. Hii siyo dhambi -after all there is what is called 'FREEDOM OF EXPRESSION'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nnnnaaTumia lugha ya taifa tu!!
Taja hicho chanzoTaarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA.
View attachment 472616
=====
UPDATES:
Apekuliwa nyumbani, arejeshwa Central...
Aachiwa:
Kwani waliokuwa Wanajua Kuwa ANAUMWA ni Mbowe pekee yake? HEBU tumia Akili hata za kuazima au Ubongo ulitolewa woteLisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?
Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Would i satisfy your soul by writing as follow; 'Mbowe is an expert in cat and mouse game with the government and if not careful, he will get caught up in a trap that he has set and shall have no one to blame but himself'
Labda Arosto tu...mzigo haupatikani kirahisi nyakati hizi ndio maana Magufuli atalaaniwa sana...maana kuna watu washaanza kuhitaji methadone
Asee zamani kulikua pamoto sana...Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA.
View attachment 472616
=====
UPDATES:
Apekuliwa nyumbani, arejeshwa Central...
Aachiwa:
======
Sakata la Mbowe kutajwa na Makonda kuhusika na biashara ya maddawa ya kulevya
- Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa
- Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...
- Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee
- Kauli ya Freeman Mbowe Baada ya Makonda Kumtaja kwenye Orodha ya Wahusika wa Madawa ya Kulevya
- Dawa za Kulevya: CHADEMA wafungua kesi dhidi ya Makonda
- Upinzani wapinga Mbowe kutajwa sakata la Madawa ya kulevya
======
Visa vya watu maarufu wengine waliowahi kutuhumiwa au kukamatwa na madawa ya kulevya
- Madawa ya Kulevya: Matumla na Kaniki wakamatwa!
- Wema Sepetu kapatikana na bangi
- Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
- Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...
- Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!
- DAR: Masogange ahukumiwa miaka 3 Jela au faini Mil 1.5 kwa kosa la Dawa za kulevya! Aachiwa huru baada ya kulipa faini