Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Hata kama akipimwa unaweza kukuta aliwahi kufanyiwa upasuaji siku za karibuni. Kwa ninavyo sikia hizi dawa hutumika pia mahosipitali kwa ajili ya upasuaji sasa huwezi kumshtaki mtu kwamba ni mtumiaji bila kujua historia ya afya yake.

Yes morphine inatumika as a pain killer mahospitalini esp kwa wagonjwa wa cancer au waliokuwa wamekuwa operated its very strong
 
Hajapimwa. Akirudi huenda akapelekwa maabara, ili tujiridhishe kuwa yeye kama kiongozi wa taifa hayumo?
Hahahhaaa kwahyo sahivi sio muuza unga ila mtumiaji???? Kaz kwelikweli....... kwa staili hii kuna atakayefungwa???? The so called mapapa wa madawa??
 
Kuweka zuio asihojawe kuna kitu an ajaribu kuficha

Mbunge asiyejua sheria na anatunga sheria. J.Sho.za ni mzigo mkubwa sana kuliko umri wake. Sijui wabunge wenzake wa kike vijana wanamuonaje! Au Freeman alishawahi kupiga mzigo na kumtosa? Maana kamuandama kweli!
 
Bado hajapimwa. Alienda kuflash damu South Afrika
Lizaboni nilishakuambia kuwa watu humu inawezekana wanakufahamu, sasa unapojibu hovyo, unajivunjia heshima. Pamoja na mapenzi ya Lumumba be realistic and an intelligible person!
 
Apa naona misukule ya Lumumba inaongea visivyo na kichwa wala miguu.... [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hata kama akipimwa unaweza kukuta aliwahi kufanyiwa upasuaji siku za karibuni. Kwa ninavyo sikia hizi dawa hutumika pia mahosipitali kwa ajili ya upasuaji sasa huwezi kumshtaki mtu kwamba ni mtumiaji bila kujua historia ya afya yake.
Ni kweli kabisa. Lakini mazingira yanayotumika katika kuwashughulikia hawa jamaa ni ya kituhumiwa na kipolisi zaidi, kwa hiyo hawana interest ya kujua historia ya afya ya mtu. ni sawa na kusema kwamba wote wenye HIV wamepata kwa sababu ni waasherati. wapo wengi waliopata kwa njia tofauti kabisa.

Katika gazeti la leo la Mwananchi wameandika makala kuhusu Mbowe kuungana na viongozi wengine wa upinzani katika Afrika, wanaonyanyaswa na serikali zilizoko madarakani. wameonesha kwamba wakati kuna vyama vingi vya siasa, kila mara utaona vyama vikuu ndio vinaandamwa. Mbowe ametimuliwa kwenye jengo la NHC - Bilicanas. mkakati unaitwa wa kudai madeni. wadaiwa ni wengi lakini ameshughulikiwa yeye na sasa hivi hakuna mtu anakumbuka kwamba kuna operesheni kusanya madeni. sasa hivi tupo kwenye operesheni madawa ya kulevya, ambayo pia Mbowe amelengwa. Mbowe pia alizuiwa kulima shamba lake huko kijijini kwao, kisa liko karibu na chanzo cha maji.

Kwa hiyo hii ishu ni sehemu tu ya mkakati maalum wa kuwalenga watu fulani, hasa vyama vya upinzani ambavyo vinaihenyesha CCM
 
Acha Kupotosha Kituo Kikuu pale ndo kuna IGP yeye alipelekwa Kituo cha Kati pale karibu na Bandari
Mkuu hapana haipo hivyo hakuna kitu kinachoitwa kituo cha kati hicho kituo unachosema karibu na station au karibu na zilipokua na ofisi za Tanesco zamani ndiyo panaitwa Central Police kwa maana ya kituo kikuu cha polisi. IGP yupo wizara ya mambo ya ndani ndipo palipo na ofisi yake na makao makuu ya jeshi la polisi.
 
Cha kati kiko wapi? Wewe unatafsiri kwa kuwa center ni kati pole sana. Kiingereza usikichezee baba kinabadilika maana kila kinapotumiwa sehemu tofauti. Central ni sehemu kuu, yenye matawi.
Kumbe hujanielewa mimi nilikua nawasahihisha hawa wanaotafsiri pale Central Police ya mkabala na station kama kituo cha kati cha polisi. In fact, hakuna kituo cha kati ni kituo kikuu cha polisi. Ni sawa na mtu atafsiri Central Bank of Tanzania aseme Benki ya kati ya Tanzania. Nadhani umenielewa. Watu humu wanatafsiri hicho kituo kama neno central lilivyo. Nadhani umenielewa hapo.
 
Back
Top Bottom