John Cannor
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,464
- 1,825
Ngoja tumalize kwa Makonda huku na cheti chake fekere..Jamani narcotic test results za Mh. Mbowe zilitoa matokeo gani?
Haraka ya nini binti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tumalize kwa Makonda huku na cheti chake fekere..Jamani narcotic test results za Mh. Mbowe zilitoa matokeo gani?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Bado hajapimwa. Alienda kuflash damu South Afrika
Unaulizia yale ya form 6 au sijaelewa? Usitafute ugomvi na makamanda ....Jamani narcotic test results za Mh. Mbowe zilitoa matokeo gani?
ukiflash dam inachukua mda gani ili aje kua tested au ndo imeshalia pa!Bado hajapimwa. Alienda kuflash damu South Afrika
Kuweka zuio asihojawe kuna kitu an ajaribu kuficha
Jamani narcotic test results za Mh. Mbowe zilitoa matokeo gani?
MemkwaUmesoma Mpaka Darasa La Ngapi?? Au Uko Darasa La Ngapi??
Hahahaha jamaa kichwa chako sikielewagiBado hajapimwa. Alienda kuflash damu South Afrika
Hata kama akipimwa unaweza kukuta aliwahi kufanyiwa upasuaji siku za karibuni. Kwa ninavyo sikia hizi dawa hutumika pia mahosipitali kwa ajili ya upasuaji sasa huwezi kumshtaki mtu kwamba ni mtumiaji bila kujua historia ya afya yake.Very interestingly, Mbowe hakupelekwa kwa Mkemia Mkuu. Tulisikia tu kwamba walikwenda kusachi nyumbani kwake kwa masaa kibao. na hata hivyo, bado nina mashaka sana na huo utaratibu unaotumiwa kuwapima watu kama ni watumiaji. ni kuwadhalilisha sana. kama mtu ni mtumiaji, huyo ni mgonjwa na kuna taratibu za kusheria kuhusu siri za mgonjwa.
Peleka vielelezo polisi ili wakamkamate tena kule ulikomuona amejificha.Bado hajapimwa. Alienda kuflash damu South Afrika
Jamani narcotic test results za Mh. Mbowe zilitoa matokeo gani?
Memkwa