Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Jamani narcotic test results za Mh. Mbowe zilitoa matokeo gani?

Very interestingly, Mbowe hakupelekwa kwa Mkemia Mkuu. Tulisikia tu kwamba walikwenda kusachi nyumbani kwake kwa masaa kibao. na hata hivyo, bado nina mashaka sana na huo utaratibu unaotumiwa kuwapima watu kama ni watumiaji. ni kuwadhalilisha sana. kama mtu ni mtumiaji, huyo ni mgonjwa na kuna taratibu za kusheria kuhusu siri za mgonjwa.
 
Unaposema hamkupewa unamaanisha wewe na nani? Au una uhusiano gani na Mbowe mpaka upewe majibu yake? Au wewe ni mpenzi wake? Samahani lakini.
 
Very interestingly, Mbowe hakupelekwa kwa Mkemia Mkuu. Tulisikia tu kwamba walikwenda kusachi nyumbani kwake kwa masaa kibao. na hata hivyo, bado nina mashaka sana na huo utaratibu unaotumiwa kuwapima watu kama ni watumiaji. ni kuwadhalilisha sana. kama mtu ni mtumiaji, huyo ni mgonjwa na kuna taratibu za kusheria kuhusu siri za mgonjwa.
Hata kama akipimwa unaweza kukuta aliwahi kufanyiwa upasuaji siku za karibuni. Kwa ninavyo sikia hizi dawa hutumika pia mahosipitali kwa ajili ya upasuaji sasa huwezi kumshtaki mtu kwamba ni mtumiaji bila kujua historia ya afya yake.
 
Jamani narcotic test results za Mh. Mbowe zilitoa matokeo gani?

Za Wema Sepetu mpaka Leo hazijatoka sasa sijui damu yake ni special,maana wenzake wote wamepata yeye mpaka mwezi ujao duh!

Halafu mnataka tuamini ati Mkemia Mkuu yuko huru. Thubutu atoe majibu tofauti na majibu aliyonayo Makonda
 
Back
Top Bottom