Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

kijana kuwa mkwel mm narekod matukio yako cku tukipata uhuru upo tayar kuyajibu hayo??? TUMIA HYO ELIMU YAKO JAPO NI KIDOGO KUANDIKA POST POA
 
Labda Arosto tu...mzigo haupatikani kirahisi nyakati hizi ndio maana Magufuli atalaaniwa sana...maana kuna watu washaanza kuhitaji methadone
Sasa hivi tutasikia kapelekwa india kwa matibabu
 
Mkuu, ikithibitika hizi taarifa si za kweli naacha kuitetea CCM na Serikali na nitajiunga na Team Lowasa kama ulivyofanya wewe
Mbowe is an expert in the cat and mouse game with the government and if not careful, he wall caught in trap that he has set and shall have no one to blame but himself
 
Mbowe is an expert in the cat and mouse game with the government and if not careful, he wall caught in trap that he has set and shall have no one to blame but himself
Ingekuwa bora zaidi kama ungeandika kwa kiswahili kwani umeiboronga lugha ya Malkia Elizabeti wa pili wa Uingereza
 
Ingekuwa bora zaidi kama ungeandika kwa kiswahili kwani umeiboronga lugha ya Malkia Elizabeti wa pili wa Uingereza
Baba soma vizuri na hiyo wall inatokana na speed ya uandishi na siyo kuboronga lugha ya kingereza
 
Baba soma vizuri na hiyo wall inatokana na speed ya uandishi na siyo kuboronga lugha ya kingereza
Would i satisfy your soul by writing as follow; 'Mbowe is an expert in cat and mouse game with the government and if not careful, he will get caught up in a trap that he has set and shall have no one to blame but himself'
 
Bado saaana. Nimecheka sana nimezikumbuka zile hekaya za abunuwasi
 
Bado saaana. Nimecheka sana nimezikumbuka zile hekaya za abunuwasi
A PERSON WHO 'ON A CLEAR DAY CAN SEE TOMORROW 'IS MUCH MORE INTELIGENT THAN A 'PERSON WHO DREAMS ABOUT YESTER YEARS THAT HAVE LONG GONE AND HAVE NO RELEVANCE WITH THE PRESENT
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA.

View attachment 472616

=====
UPDATES:

Apekuliwa nyumbani, arejeshwa Central...

Aachiwa:

Lizaboni umeukwaa ukuu wa wilaya maana kwa kufanya kazi yako vizuri kufunga gidamu za bashite hakuachi bure.
 
Mbowe is an expert in the cat and mouse game with the government and if not careful, he wall caught in trap that he has set and shall have no one to blame but himself
Tumia lugha ya taifa tu!!
 
Back
Top Bottom