MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Amefika na nani!!?Mbowe afika kituo cha polisi hii leo kwa hiari yake
hii ni kwa mujibu wa habar ya saa hii kwenye East africa redio kipindi cha drive (4.46)
walisema hatakwenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amefika na nani!!?Mbowe afika kituo cha polisi hii leo kwa hiari yake
hii ni kwa mujibu wa habar ya saa hii kwenye East africa redio kipindi cha drive (4.46)
Ndoto ukitembeaHongera.Ila kuna siku utatamani ardhi ipasuke uingiemo
Mbona kama umechochora mkuu, upo kwenye mada kweli.?Kuwaamini Wangoni ,, ktk mambo serious kama haya ni vigumu,,
Siku zote Wangoni hawaaminiki ktk jamii,, hata nyimbo zao zimejaa utata mtupu,,
1: Utakuta wanaimba ninapopenda mm ni hapo tu,, ukiuliza ni wapi hawasemi hadi wimbo utaisha bila kuonyeshwa,,
2: Mngoni hata akisomeshwa vipi na wazazi wake ktk shule za Gharama,, hawezi kuwashukuru wazazi wake kwa kumpa elimu bora,, ila Akiozeshwa mke hapo huwa wepesi wa kutoa shukurani kwa wazazi wao,,
Sasa Wanajamvi habar hizi za watu wa kule Rizabon yatupasa kuzichuja ,,
Muhimu ni kuwarudisha kwao tu ,, kama Msumbiji walivyorudisha Watz kwao.
Lizabon na wenzake naye wajiandae kurudi kwao tu.
Mabadiliko ya kweli haya si yale ya kuzungusha mikono
mna kazi sana.poleni maana hutapata posho leoWaheshimiwa Viongozi na Wanachama wa Chadema Dar es salaam, Siku ya leo Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe akiwa Kwenye Mkoa wetu wa Dar es salaam, Ameamua kwenda Central police baada ya kuwepo na Taarifa nyingi kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii kuwa anahitajika Police.
Taarifa za kusema ya kwamba jeshi la police limemkamata na kumpeleka Central police ni taarifa za uongo ambazo hatujui zinataka kulenga kitu gani...Taarifa sahihi ni Kwamba Mhe.Freeman Mbowe ameamua kwenda baada ya taarifa kuzagaa kuwa anatafutwa.
By Henry Kilewo
Katibu Mkoa wa Dsm
Hivi kuna nini dhidi ya mbowe???Ivi na wale wengine waliobaki nao wanatafutwa kama alivotafutwa mbowe?
hao ni wachagga wenzie unategemea nini? Mbowe alijificha na kukamatwa...Mbowe afika kituo cha polisi hii leo kwa hiari yake
hii ni kwa mujibu wa habar ya saa hii kwenye East africa redio kipindi cha drive (4.46)
unajipa uhakika kuwa anahusika, haya wacha tuone, walioleta matatizo unawajua mbona huwasemi, mpaka ndugu zetu wamenyongwa huko bara asia, mbona wanapeta mtaani, hapa siasa zaidi ili kwenye kampeni iwe ni kibwagizo kuwa chama gani mwenyekiti wenu anabwia udaga, je mkimpa nchi si wote watakula udaga, mark my word, hii lazima 2020 tukiwa hai ndo itakuwa kibwagizo kwa kila mgombea wa kijaniPole sana
Kwani ulitaka Mbowe aachwe kisa Msumbiji kuna wanao bakwa!!?
Unajua matatizo anayo yaleta Mbowe kwa watanzania!!?
Madawa nihatari sana
yamsumbiji hayatubusu kwenye mada hii
Kwa ufahamu wako Wema na TID unafikiri walikuwa wanatafutwa kweli? Hiyo ilikuwa ni gia ya kuwaingilia watu, sasa wameshalianzisha na kina wema na TID kwasasa wapo uraiani ila waliokuwa wanatafutwa tunawaona kila siku Mara hospital au mahakamani.Nashangaa kiongozi mkubwa kama Mbowe kuogopa Polisi, wanamshinda ujasiri hata akina Wema na Tid.
Mkuu Mbimbinho, asante sana kwa taarifa hii, kwa vile ile taarifa ya uongo ilikuwa very detailed, tulitegemea taarifa ya kanusho pia iwe detailed, alipoamua kujisalimisha, alitokea wapi, na hapo central ameandamana na mwanasheria/wanasheria kina nani na maofisa waliomsindikiza ni kina nani? .Waheshimiwa Viongozi na Wanachama wa Chadema na UKAWA kwa ujumla,
Siku ya leo Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe akiwa Kwenye Mkoa wetu wa Dar es salaam, Ameamua kwenda Central police baada ya kuwepo na Taarifa nyingi kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii kuwa anahitajika Police.
Taarifa za kusema ya kwamba jeshi la police limemkamata na kumpeleka Central police ni taarifa za uongo ambazo hatujui zinataka kulenga kitu gani...Taarifa sahihi ni Kwamba Mhe.Freeman Mbowe ameamua kwenda baada ya taarifa kuzagaa kuwa anatafutwa.
By Henry Kilewo
Katibu Mkoa wa Dsm
Jamaa wamevuruga ni hamna kila kiongozi anatoa tamko lake, sijui wakikubali kuwa amekamatwa watapungukiwa nini.!Nawaona CHADEMA walivyopanic. Wanakimbilia kueneza propaganda kuwa eti Mbowe kajipeleka mwenyewe. Haya tuambieni wanasheria alioambatana nao huko Central. Mbowe kakamatwa akiwa na Dereva wake tu. hakuna mtu mwingine zaidi yao
kwa hiyo amebadili gia angani?Mbona taarifa za kuwa hajakamatwa bali kajipeleka hazifunguki? Au ni feki?
Mbona media zinasema kaenda mwenyewe?Swali lako linalenga nini Kamanda? Unataka niiache CCM kama walivyoiacha Kingunge na Lowasa? Thubutu! Nimeshatoa masharti kwamba taarifa hii ikithibitika ni uongo nahamia rasmi UKAWA
Ndoto ukitembea