Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

:Usahihi: Mbowe Kaenda polisi mwenyewe,Katibu CHADEMA Dar athibitisha::

Waheshimiwa Viongozi na Wanachama wa Chadema Dar es salaam, Siku ya leo Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe akiwa Kwenye Mkoa wetu wa Dar es salaam, Ameamua kwenda Central baada ya kuwepo na Taarifa nyingi kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii kuwa anahitajika nao.

Taarifa za kusema ya kwamba jeshi limemkamata na kumpeleka Central ni taarifa za uongo ambazo hatujui zinataka kulenga kitu gani...Taarifa sahihi ni Kwamba Mhe.Freeman Mbowe ameamua kwenda baada ya taarifa kuzagaa kuwa anatafutwa.

By H Kilewo
Katibu Mkoa wa Dsm
 
Waheshimiwa Viongozi na Wanachama wa Chadema na UKAWA kwa ujumla,
Siku ya leo Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe akiwa Kwenye Mkoa wetu wa Dar es salaam, Ameamua kwenda Central police baada ya kuwepo na Taarifa nyingi kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii kuwa anahitajika Police.

Taarifa za kusema ya kwamba jeshi la police limemkamata na kumpeleka Central police ni taarifa za uongo ambazo hatujui zinataka kulenga kitu gani...Taarifa sahihi ni Kwamba Mhe.Freeman Mbowe ameamua kwenda baada ya taarifa kuzagaa kuwa anatafutwa.

By Henry Kilewo
Katibu Mkoa wa Dsm
 
Mbowe kakosa UJASIRI hadi kazima simu tangua Jumatano wiki iliyopita, wala haonekani hadharani, huyu hafai kukabidhiwa nchi, anaogopa wito wa POLISI!!
🙄🙄🙄🙄 Hivi Tanzania nako kuna polisi?
 
Subirini Press Conference ya Kamanda Sirro muone mtakapoumbuka
 
Waheshimiwa Viongozi na Wanachama wa Chadema Dar es salaam, Siku ya leo Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe akiwa Kwenye Mkoa wetu wa Dar es salaam, Ameamua kwenda Central police baada ya kuwepo na Taarifa nyingi kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii kuwa anahitajika Police.

Taarifa za kusema ya kwamba jeshi la police limemkamata na kumpeleka Central police ni taarifa za uongo ambazo hatujui zinataka kulenga kitu gani...Taarifa sahihi ni Kwamba Mhe.Freeman Mbowe ameamua kwenda baada ya taarifa kuzagaa kuwa anatafutwa.

By Henry Kilewo
Katibu Mkoa wa Dsm
 
Sasa hwatoa taarifa za upotoshi walikuwa na lengo gani tena??
 
Ikithibitika Lizaboni kadanganya apelekwe kwa mkemia kupimwa mkojo
 
Kuwaamini Wangoni ,, ktk mambo serious kama haya ni vigumu,,

Siku zote Wangoni hawaaminiki ktk jamii,, hata nyimbo zao zimejaa utata mtupu,,

1: Utakuta wanaimba ninapopenda mm ni hapo tu,, ukiuliza ni wapi hawasemi hadi wimbo utaisha bila kuonyeshwa,,

2: Mngoni hata akisomeshwa vipi na wazazi wake ktk shule za Gharama,, hawezi kuwashukuru wazazi wake kwa kumpa elimu bora,, ila Akiozeshwa mke hapo huwa wepesi wa kutoa shukurani kwa wazazi wao,,

Sasa Wanajamvi habar hizi za watu wa kule Rizabon yatupasa kuzichuja ,,

Muhimu ni kuwarudisha kwao tu ,, kama Msumbiji walivyorudisha Watz kwao.
Lizabon na wenzake naye wajiandae kurudi kwao tu.
 
Kinacho nisikitisha sana kwa sasa ni kwamba wanaume wengi wamekuwa na tabia za wanawake sijui hii inaashiria nini kwa taifa hili la viwanda ,mh.rais kweli anawatu wa kumsaidia kwenye hili la viwanda kama nguvu kazi tegemewa inapote kweli?
Wanaume wamekuwa washadadiaji wa mambo kama wanawake wacheza vigodoro ,wanaume wengi mmekuwa wambea kupindukia hata kwa mambo msiyo yajua kwa kina ,tanzania yangu inapoteza wanaume makini kila siku kadri siku zinavyo songa mbele NAIHURUMIA NCHI YANGU.
jionee huruma mwenyewe
 
umeniweka upande wao ili upate nguvu ya kusema

Mbowe anajishusha kuogopa polisi, ni rais yule, kaa hajijui pole yake

Wala sijakuweka upande wa mtu yeyote.Kama watanzania for once tutetee haki zetu kama RAIA.HAiwezekani unatangazwa REDIONI kesho unakamtwa ati kaisadie polisi hii ilianza lini??Ndiyo sheria zetu zinatutaka tufanye??Ni lini tutasema basi??Au sababu anayeongea anapolisi??
 
Kama ni kweli basi Mbowe anajimaliza kisiasa, kwa nini ajifiche kama hana dosari?
Kuna tofauti gani na alivyofanya zito kukimbilia nje?.Tatizo sio kujificha ila Tatizo ni mungu wa tanzania anavyotaka kutuharibia nchi yetu.
 
Back
Top Bottom