Hizi taarifa za Lizabon ni za uongo sana kwa sababu zifuatazo;
1. Gari anayoitaja ni mali binafsi ya Mhe.Mbowe na inafahamika kwa kila mtu .
2. Apartment anayodai kuwa ni ya CHADEMA sio kweli ni uzushi na CHADEMA haijawahi kumiliki Apartment , ila Mbowe anaishi kwenye Apartment hiyo na ndio alikosema Sirro juzi kuwa wanamtafuta.
3. Aliamua kwenda Polisi mwenyewe baada ya usumbufu kuzidi katika familia yake , sasa mtu anaenda Polisi Mwenyewe huyu anadai kakamatwa .
4. Apartment hiyo ipo Kawe , sasa huyu anaandika Mikocheni , ni sehemu ya Porojo za Lizabon ambaye ameshachafua hali ya hewa huko nje kwa uzushi .