Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA

Hizi taarifa za Lizabon ni za uongo sana kwa sababu zifuatazo;

1. Gari anayoitaja ni mali binafsi ya Mhe.Mbowe na inafahamika kwa kila mtu .
2. Apartment anayodai kuwa ni ya CHADEMA sio kweli ni uzushi na CHADEMA haijawahi kumiliki Apartment , ila Mbowe anaishi kwenye Apartment hiyo na ndio alikosema Sirro juzi kuwa wanamtafuta.
3. Aliamua kwenda Polisi mwenyewe baada ya usumbufu kuzidi katika familia yake , sasa mtu anaenda Polisi Mwenyewe huyu anadai kakamatwa .
4. Apartment hiyo ipo Kawe , sasa huyu anaandika Mikocheni , ni sehemu ya Porojo za Lizabon ambaye ameshachafua hali ya hewa huko nje kwa uzushi .
 
Kajificha vipi wakati unaambiwa wamemkuta getini,mtu mwenye akili timamu anaweza jificha getini? Mbona unabadilisha maana au ndiyo uko upande ule unaosema nchi haina njaa?
Kubari alijificha kificho cha ajabu
lakini hapa sasa mbo safi
lazima kuheshimu mamlaka
awamu hii hakuna kuangalia sura
 
Kaka hebu angalia lugha yako unachoongea ndicho kilichoko kwenye ubongo wako.Amesema aitwe kwa summons sasa polisi wamempelekea ameenda kuna kingine??
Bosi wenu kileo kasema amejipeleka ,huku tundu lissu anasema amekamatwa mbona hakuna ,uelewano baina yenu .???
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Majengo ya siri seriously kwa Dar es salaam hii hii au unazungumzia Mexico kwa wingi upi wa mitaa na magorofa mpaka mengine yasijulikane haya tusubirie tupate mrejesho wa kitakacho jiri
 
Hajatukanwa mtu
umeulizwa swali
kati ya wewe kibendera na Lisu nani tumuamini!!?

Unadhani kila mtu ni kibendera kama wewe uanyetegemea kulipwa buku 3 kila siku??Kuwa na aibu japo kidogo.Fanyeni siasa yenye maadili na siyo hizi mnazozifagilia,au kwa sababu Polisi na jeshi ni lenu??Mnadhani ni mpaka lini mtaedneelza huu upumbavu??Maisha yote??Unaijua kesho yako??

Mdogo wangu cheo ni dhamana tu,tumia cheo chako kwa busara ili uanpodondoka upate pa kufikia.
 
maamuzi hayo kama ameenda mwenyewe kweli basi angeyafanya mapema kuliko kutengeneza attentions ambazo hazina mashiko.
Kama ni Innocent itajulikana sioni sababu watu kupanic utadhani amekamatwa mzazi wao
 
acheni uongo Mbowe hapo central kapelekwa na polisi
 
Mkuu, ikithibitika hizi taarifa si za kweli naacha kuitetea CCM na Serikali na nitajiunga na Team Lowasa kama ulivyofanya wewe
Unaitetea ccm au serikali kwa manzuri yapi waliyoyafanya nchi hii.miaka 55 sasa tangu uhuru.Lakini Tanzania ni masikini wakutupwa.
 
Kama ni mtumiaji, hawezi kuchomoka. Maana ukipima kwa hair strip na km ametumia miezi mitatu iliyopita itakuwa ni aibu na mwisho wake kisiasa. Tunamuhitaji kwenye siasa zetu "magumashi".
 
Back
Top Bottom