Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Kubari alijificha kificho cha ajabuKajificha vipi wakati unaambiwa wamemkuta getini,mtu mwenye akili timamu anaweza jificha getini? Mbona unabadilisha maana au ndiyo uko upande ule unaosema nchi haina njaa?
Bosi wenu kileo kasema amejipeleka ,huku tundu lissu anasema amekamatwa mbona hakuna ,uelewano baina yenu .???Kaka hebu angalia lugha yako unachoongea ndicho kilichoko kwenye ubongo wako.Amesema aitwe kwa summons sasa polisi wamempelekea ameenda kuna kingine??
Majengo ya siri seriously kwa Dar es salaam hii hii au unazungumzia Mexico kwa wingi upi wa mitaa na magorofa mpaka mengine yasijulikane haya tusubirie tupate mrejesho wa kitakacho jiriTaarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Anashindwa kuelewa kuwa hata lissu ni benderaHajatukanwa mtu
umeulizwa swali
kati ya wewe kibendera na Lisu nani tumuamini!!?
Njozi njemaKwa hili la Mbowe kukaidi agizo la Polisi hakika anajimaliza mwenyewe
Kwa hiyo tundu lissu mwongo mkuuTunachojua mpaka sasa ameenda mwenyewe period
Hajatukanwa mtu
umeulizwa swali
kati ya wewe kibendera na Lisu nani tumuamini!!?
Unaitetea ccm au serikali kwa manzuri yapi waliyoyafanya nchi hii.miaka 55 sasa tangu uhuru.Lakini Tanzania ni masikini wakutupwa.Mkuu, ikithibitika hizi taarifa si za kweli naacha kuitetea CCM na Serikali na nitajiunga na Team Lowasa kama ulivyofanya wewe