Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Vipi hao polisi watamchukulia lini hatua yule aliyeuza nyumba za serikali alipikuwa waziri?
Kila mkakati manoanzisha mnaishia kukwama hata huu nao tayari mshatumbukia
too late mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi hao polisi watamchukulia lini hatua yule aliyeuza nyumba za serikali alipikuwa waziri?
Kila mkakati manoanzisha mnaishia kukwama hata huu nao tayari mshatumbukia
nani kasema anatumia madawa??
kaitwa kutoa taarifa, kuulizwa na kutoa ushahidi.....kujifanya kukataa na ubabe ndio vina mgharimu
Huwezi juwa mkuu.........mambo yanabadilika.haitatokea sifongolosi
Mkuu Mimi siyo uvccm ni raia WA Tanzania mkuu ,labda akina asenga ndioWewe aliyekwambia Lizabon,sababu ni UVCCM mwenzako sawa?Lissu yuko Bunda amekisikia mlichokipublicise.
Tuanelewa ni amri kutoka magogoni lakini miaka si mingi ianpita kama maji yaendevyo kwenye mto
Diamond na Riziwani mmeshamuita? Au yule wa GSM mmeshamuuliza ??
Mhe. Iddi Azani mbali na tuhuma zote aaaah! Akachukua gari lake huyoo Polisi. Akajieleza akaruhusiwa. Ukijiheshimu unaheshimiwa. Ukijishusha unainuliwa.
Mkuu diamond kumbe naye anauza sembe ???Diamond na Riziwani mmeshamuita? Au yule wa GSM mmeshamuuliza ??