Nimecheka sana kwa jinsi CHADEMA wanavyojichanganyaKwa upande wake msemaji wa CHADEMA Boniface Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.
Alikuwa anaenda kituoni
Wewe ni mnafiki..mara nying umeleta taarifa za uzushi... kama taarifa zako zingekuwa za ukweli kwanini humu ndani wanakuchukiaaaa??Nina hakika na taarifa hii. Sijawahi kuleta habari ya uongo hapa
Vipi ule ushauri wa Lissu mwenyekiti mbona kaupuuzia unaweza kutuambia kitu gani kimepelekea M/kiti kujipeleka mwenyewe Central(kwa mujibu wa Makene) na alikazana kuwa hatokwenda? dadavua kidogo Anty Tetty
Nakuonea huruma ndugu dah unatumika kwa kiwango cha juu sana.Mod 1 Mod 2 Mod 3 Moderator Maxence Melo tendeeni heshima hili Jukwaa kuhusu habari za Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe
Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Boniface Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.View attachment 472446 View attachment 472447 View attachment 472448
Kauli ya Kamanda Siro ndio itakayobadilisha heading, sio huko mlikopeleka taarifa nyie .!Mod 1 Mod 2 Mod 3 Moderator Maxence Melo tendeeni heshima hili Jukwaa kuhusu habari za Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe
Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Boniface Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.View attachment 472446 View attachment 472447 View attachment 472448
Waheshimiwa Viongozi na Wanachama wa Chadema Dar es salaam, Siku ya leo Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe akiwa Kwenye Mkoa wetu wa Dar es salaam, Ameamua kwenda Central police baada ya kuwepo na Taarifa nyingi kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii kuwa anahitajika Police.Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Tetty katika ubora wako. jioni njemaKwa nini usimuulize Makonda ambaye uko naye karibu hapo??Au unataka nikuongezee kipumu ushushie furaka yako??
Hahahahahahahaaaaaaaa! Mnabadili santuri tu. poleni sana
Hii picha ina uhusiano na tukio au ndo unaamua kujitoa fahamu??!!Bavicha: Mbowe hawezi Kwenda kwanza aliyetajwa alikua Philemon
Bavicha: Jembe Mbowe hawezi Kwenda ha!ha!
Media: Mbowe amekamatwa ashikiliwa Kituo cha kati.
Bavicha: Crying again Police didn't arrest Mbowe he decided to go himself.
View attachment 472442
jamani sisi hatukutaka kumkamata mh mbowe kwa kumdhaslilisha na ndo maana tukamwomba ndg siro akatoe taarifa kwa uma ili kwa nyia hiyo mbwowe asikie na afike dsm kwa ajili ya kuhojiwa tuu na sii vinginevyo sasa yeye kakaidi kaenda kujificha vijana wangu wa nguvu wakamfuata na wakamleta hapa sasa hili ni onyo kwa waliobakia kuwa waheshimu mamlaka halaliTaarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Wamekosea , wangemsubiria hadi ijumaa ndo wamtie nyavuni akanyee debe hadi jumatatu
Duh CHADEMA wana safe houses! Red brigade hawakuleta rabsha wakati kamands wao anatiwa nguvuni?Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Kauli ya Kamanda Siro ndio itakayobadilisha heading, sio huko mlikopeleka taarifa nyie .!
IllusionistSubiri Press Conference ya Kamanda Sirro