Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Boniface Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.
Alikuwa anaenda kituoni
Nimecheka sana kwa jinsi CHADEMA wanavyojichanganya
 
Ka muvi ya samel doe, makamanda wanajificha kwenye mahandaki yeye kwenye apartment! Mh nikama muvie ya kihindi.
Hahahahahaaaaaaa! Walienda kukagua humo kwenye Appartment? Kupo salama kweli? Hakuna mtu kaibiwa?
 
Hivi mahakama ikimkuta hana hatia wale tunaotoa maneno ya kukashifu tutaficha wapi sura zetu?
Tusipende kuishi kwa dhana ni dhambi mbaya sana. Tuwe tunatoa maoni yetu kwa kuzingatia taaluma na pia kujua kuna kesho pia. Mimi nilishalazwa central hapo bila hatia lakini watu walinisingizia kuwa nimeiba mali za ofisi Mungu tumwache aitwe MUNGU nikatoka wale waliokuwa wanashangilia mimi kuaibika wakaaibika wao, wakakimbizana kwenda kufuta kesi na leo hii baada ya miaka kumi(10) roho zao bado zinawasuta wakiniona - maana wao ndo walikuwa wezi.
MWENYE HILA MWISHO WAKE AIBU.
tafakuri......
 
Nina hakika na taarifa hii. Sijawahi kuleta habari ya uongo hapa
Wewe ni mnafiki..mara nying umeleta taarifa za uzushi... kama taarifa zako zingekuwa za ukweli kwanini humu ndani wanakuchukiaaaa??
 
Vipi ule ushauri wa Lissu mwenyekiti mbona kaupuuzia unaweza kutuambia kitu gani kimepelekea M/kiti kujipeleka mwenyewe Central(kwa mujibu wa Makene) na alikazana kuwa hatokwenda? dadavua kidogo Anty Tetty

Kwa nini usimuulize Makonda ambaye uko naye karibu hapo??Au unataka nikuongezee kipumu ushushie furaka yako??
 
Mod 1 Mod 2 Mod 3 Moderator Maxence Melo tendeeni heshima hili Jukwaa kuhusu habari za Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe
Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Boniface Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.View attachment 472446 View attachment 472447 View attachment 472448
Kauli ya Kamanda Siro ndio itakayobadilisha heading, sio huko mlikopeleka taarifa nyie .!
3febc40fdf8e76a9254c4eaa8bcf5608.jpg
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Waheshimiwa Viongozi na Wanachama wa Chadema Dar es salaam, Siku ya leo Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe akiwa Kwenye Mkoa wetu wa Dar es salaam, Ameamua kwenda Central police baada ya kuwepo na Taarifa nyingi kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii kuwa anahitajika Police.

Taarifa za kusema ya kwamba jeshi la police limemkamata na kumpeleka Central police ni taarifa za uongo ambazo hatujui zinataka kulenga kitu gani...Taarifa sahihi ni Kwamba Mhe.Freeman Mbowe ameamua kwenda baada ya taarifa kuzagaa kuwa anatafutwa.

By Henry Kilewo
Katibu Mkoa wa Dsm
 
Bavicha: Mbowe hawezi Kwenda kwanza aliyetajwa alikua Philemon

Bavicha: Jembe Mbowe hawezi Kwenda ha!ha!

Media: Mbowe amekamatwa ashikiliwa Kituo cha kati.

Bavicha: Crying again Police didn't arrest Mbowe he decided to go himself.

View attachment 472442
Hii picha ina uhusiano na tukio au ndo unaamua kujitoa fahamu??!!
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
jamani sisi hatukutaka kumkamata mh mbowe kwa kumdhaslilisha na ndo maana tukamwomba ndg siro akatoe taarifa kwa uma ili kwa nyia hiyo mbwowe asikie na afike dsm kwa ajili ya kuhojiwa tuu na sii vinginevyo sasa yeye kakaidi kaenda kujificha vijana wangu wa nguvu wakamfuata na wakamleta hapa sasa hili ni onyo kwa waliobakia kuwa waheshimu mamlaka halali
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA

Hujui tofauti ya safe house na apartment? Shame
 
Kufuatia mpambano wenu enyi wafia vyama (CCM Vs Chadema) niuonao humu, kuna mambo mawili ambayo ni dhahiri.
Kwamba muda huu Mh. Mbowe yuko chini ya ulinzi mkali wa Polisi kufuatia tuhuma dhidi yake.
Kwamba soon atahojiwa kwa procedure zilezile kama walivyohojiwa Watanzania wengine, e.g. Wema Sepetu, TID, Babu wa Kitaa, n.k.

Haya mengine mnayobishana, nafikiri ni siasa zenu tu.
 
Wamekosea , wangemsubiria hadi ijumaa ndo wamtie nyavuni akanyee debe hadi jumatatu

Mkuu kama unahisi ni mahali pazuri na unahitaji kwenda kunyea hiyo debe mwenyewe basi sema tukufanyie maarifa..........
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Duh CHADEMA wana safe houses! Red brigade hawakuleta rabsha wakati kamands wao anatiwa nguvuni?

Hivi kwa nini atumie juhudi zote hizo kujificha wakati anafahamu/anatuaminisha kwamba hana kosa?
 
Mbona amekamatwa akiwa njiani kwenda kituo cha Polisi
Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Boniface Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.
Kauli ya Kamanda Siro ndio itakayobadilisha heading, sio huko mlikopeleka taarifa nyie .!
3febc40fdf8e76a9254c4eaa8bcf5608.jpg
 
Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Boniface Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.
Alikuwa anaenda kituoni
Francis12 acha kumlisha maneno Millardayo.
 
Back
Top Bottom