Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Kwani dereva haruhusiwi kwenda kumfuata boss wake alipokamatwa ili arudi naye?....mwenzio kaambiwa ondoka haraka huwez kumchukua muda huu ndio gari ikaondoka.....
Lizabon yuko sasa alikamatwaaaaA
Kaenda mwenyewe tuacheni unazi usio na maana.
 

Kuna kitu kinaitwa paragraph... Unakijua??

Unajua matumizi ya herufi kubwa kwenye uandishi???

Haya rekebisha huu upup.u ulioandika ili wengine tukuelewe. Nadhani watakaokuelewa hapa ni wale rafiki zako mliofeli pamoja kidato cha pili.
 
Wewe unajua utaratibu gani wa kuitwa uliondikwa kisheria? Tuanzie hapo, ktk sheria wamesema tu....mtu anayekaidi wito wa polisi anaweza kuadhibiwa kwa.....wewe ndio tupe kanuni yako na sheria ilivyosema. Wito ni wito hata kwa mdomo.

Haujajibu maswali bado ,nimekuuliza kutokana na ulivyo toa Uchambuzi wako.Rudia kusoma nilipoweka alama nyekundu ndio mantiki ya ulicho andika..Unaanzaje kuniuliza mswali ambayo kwa Uchambuzi wako unaonekana unajua ?..
 
Kajifunze kwanza kuandika
 
Kumbe kelele zote waogopa uenyekiti wa Mbowe CDM? Mwataka kupandikizi mwkt 'wenu'?
 
lizaboooon......huna la maana zaidi ya mbooooowe !
 
Mkuu tusaidiane katika mantiki ya Uchambuzi wako..

1-Ni utaratibu upi ulitumika kumuita Mh Mbowe.(jibu).
2-Je huo utaratibu ulizingatia kanuni kwa mujibu wa Sheria?.(Jibu)

Tuanzie hapo ili tuweze kumhukumu kwa 'Haki' Mh Mbowe ...
Kama Kiongozi Mkuu, hiyo ilikuwa nafasi yake, ya kipekee, kuonesha jinsi anavyoheshimu na kutii sheria bila shurti, hata kama imetumika vibaya.

Kwa kukaidi, katoa funzo kwa watu kama wewe UKAIDI wa kipumbavu.

Kwa kuwa ni kiongozi, dharau aliyoionesha, kwa kukaidi wito, na kejeli kwenye vyombo vya habari, ni dhahiri amesukumwa na nguvu nje ya ubinadamu na utu.

Mkubali tu ni kiongozi mwenye shari, kiburi na wakuja tu, huyo Mkuu wenu.
 

Mi napendekeza kama jpm ana nia ya dhati kupambana na WATUMIAJI wa mihadhati basi apime viongozi woote SERIKALINI na ktk CCM aje upinzani halafu aanze na nyumba kwa nyumba vinginevyo ni upuuzi kuwakamata watu mashuhuri kwa visa wakati huko kwao ndo kulikooza
 
Safehouse means the house is supposed to be safe,sasa unakamatwaje nje ya geti?,

either jamaa walikuwa na inside information au ulifanyika uzembe sana,does it means countersurveillance ilikuwa NIL,

Ndo kusema hata hawakuwa na spotter wa kucheck usalama huko nje kabla boss hajachomoka ndani?,

maana hata kama imeleak information kuwa yuko hapo, a well placed spotters wangeona movements zisizokuwa za kawaida na wangeshituka
 
Watanzania ni waoga na kamwe hawataweza kufanya kupambana na ujinga wa watawala. Watanzania ni watu wa kuonewa, kutukanwa, kunyanyaswa na kufanyiwa ujinga wa aina yeyote na wasifanye lolote. Rejea Ulimboka, Mwangosi, sasa kamata kamata ya kijinga inayoendelea. Hakuna Mtanzania ataweza jitetea ila tutaishia kuropoka kwenye media kisha tutakaa kimya huku matahira yakipewa ukuu wa mikoa na kutunyea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…