Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Na ndio mnapokosea....kuifanya vita hii muhimu kuchukua political inclination. Wewe na wapuuzi wenzio kama Lizaboni hamuwezi kuliona hili. Mnafanya watu wa-take sides.....CCM vs UPINZANI. Mnaifanya vita hii ngumu izidi kuwa ngumu zaidi
 
......
.....kuna sehemu Tumepotea ndani ya giza tororo
 
Na ndio mnapokosea....kuifanya vita hii muhimu kuchukua political inclination. Wewe na wapuuzi wenzio kama Lizaboni hamuwezi kuliona hili. Mnafanya watu wa-take sides.....CCM vs UPINZANI. Mnaifanya vita hii ngumu izidi kuwa ngumu zaidi
Mpuuzi wewe, hayo ni maoni yangu yeye aliitwa akakaidi, ati anasubiri summons, what summons? Sasa mambo ya vyama yanaingiaje hapo? Wacha pumba.
 
Wacheni watimize wajibu wao alopanga makondakta, mhm haki itendeke.
 
Oh real! Hivi EPA IPTL ESCROW Hamuwaoni mnahangaika na upinzani asubuhi mchana na jioni Nani aliwaloga ninyi watu? Acheni kufuja pesa za walipa kodi. Miaka miwili bado tunakimbizana na upuuzi huu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…