Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Mbowe huyu aliyeita press conferece? Nilisema huwezi kucheza na Serikali, hilo ni somo, wapinzani mna wakati mgumu sana kuelewa maana ya Serikali. Mtanyooka tu, mnafikiri nchi hii ni yenu peke yenu. Tupo Watanzania lukuki ambao tupo nyuma ya uongozi imara wa JPM.
Na ndio mnapokosea....kuifanya vita hii muhimu kuchukua political inclination. Wewe na wapuuzi wenzio kama Lizaboni hamuwezi kuliona hili. Mnafanya watu wa-take sides.....CCM vs UPINZANI. Mnaifanya vita hii ngumu izidi kuwa ngumu zaidi
 
Hivi nchi itaendelea kweli kwa hivi vichekesho vinavyoendelea kufanyika kweli?

Jamani hebu tuacheni utani katika mambo mazito.

Hata kama mbowe angekuwa anafanya hiyo biashara hivi angekuwa mjinga kiasi gani aendelee kubaki na mzigo hadi sasa?

Utani katika mambo mazito ndio umeifanya nchi kuendelea kuchutama kama ilivyo sasa!
......
.....kuna sehemu Tumepotea ndani ya giza tororo
 
Polisi wenyewe ndio hawa...
6805908648ced3d1f2a73f205a0f2e33.jpg
Eeee bhana eee dah huyu ni kova noma kweli kweli

kwa kipindi hiki cha matamko huyu ndio alikuwa anaafaa kwa sababu na yeye anapenda sana vitisho

imagine huku makonda huko kova magufuli kule nakwambia hivi Ngamia lazima apenye kwenye tundu la sindano TRUST ME
 
Na ndio mnapokosea....kuifanya vita hii muhimu kuchukua political inclination. Wewe na wapuuzi wenzio kama Lizaboni hamuwezi kuliona hili. Mnafanya watu wa-take sides.....CCM vs UPINZANI. Mnaifanya vita hii ngumu izidi kuwa ngumu zaidi
Mpuuzi wewe, hayo ni maoni yangu yeye aliitwa akakaidi, ati anasubiri summons, what summons? Sasa mambo ya vyama yanaingiaje hapo? Wacha pumba.
 
Wacheni watimize wajibu wao alopanga makondakta, mhm haki itendeke.
 
Oh real! Hivi EPA IPTL ESCROW Hamuwaoni mnahangaika na upinzani asubuhi mchana na jioni Nani aliwaloga ninyi watu? Acheni kufuja pesa za walipa kodi. Miaka miwili bado tunakimbizana na upuuzi huu?!
 
Back
Top Bottom