Taarifa za kukamatwa mmeleta sawa! Sasa za kuachiwa bila hata ya kupelekwa mahakamani mbona kimya??? Nauliza tuu..
Hivi alikuwa anaogopa kitu gani hadi ajifiche?
Unafikiri wangemkuta na tatizo wangemuachia au ulitaka aende ijumaaa ili akae weekend nzima
Au ulitaka aende bila kupata written RB
Unatakiwa kumaanisha kwamba Jinsi CHADEMA Wanavyonyoosha, kuoshwa na kutendwa ni kwasababu walishawahi kuosha na kutenda na wao
Jisemee nafsi yako wewe usitusemee wengine j....hwatanzania tunazidi kuwa wendazimu kadiri ya siku zinavyoenda.
3:4
Mbona ni dhoofu sana tu, awe dhoofu vipi?Mkuu, dalili na maneno yanayosemwa yanaashiria polisi wameshajiandaa kumpata na hatia kwa gharama
yoyote. Hili linafanyika ili kumdhoofisha kisiasa .
Sheria ya vyama vya siasa ndiyo katiba?Kasome sheria ya vyama vya siasa ukiikosa ntakuletea hapa...... sehemu ya pili inatamka kuwa ni haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano na maandamano kwa uhuru bila kuingiliwa..... sasa kwa huyo mwenyekiti wenu kuzuia mikutano eti mpaka 2020 hajavunja sheria ya vyama vya siasa???
Tuanze na hiyo sheria kwanza.... mpaka tutaelewana tu
For what is worth regardless of one man's power kuna taasisi za 'human rights', Tanganyika Law Society and several home and international watchdogs watu awawezi kukaa kimya wakati infringement of 'civil liberty' is being promoted in the day broad light by the government agents.
Unamuita mtu kwa mahojiano tena na kumkamata kwa nguvu maana yake tayari unaushaidi wa awali; akifika huko ni wewe sasa umpe huo ushahidi wako yeye hana ulazima wakushirikiana na wewe kama yuko tayari kwenda mahakamani mfungulie kesi.
Kama hauna ushahidi wowote let the person walk free na surely wanasheria wao wanatakiwa walipazie sauti hili swala pamoja na taasisi zingine za kisheria kuendelea hivi ni kuwajengea fikra za kwamba nchi aina sheria.
Huyu ni kiongozi wa kitaifa sisi wengine itakuwaje kama polisi wanaanza tabia hizi mapema hivi wakati kila mtu anaona hii sio sahihi.
Usipoteze muda wako Kusikiliza wa robokaji, Agizo gani limepuuzwa?Kivipi Embu Funguka Kidogo???
Unaongea Kwa hoja zenye mashiko au ni uropokaji? Huu ujinga wa akili ndo ulio fikisha Taifa Letu hapa tulipoSerikali hii si ya kispoti spoti. Haionei mtu na wala haipendelei mtu
Duuuh haya basi katiba soma ibara ya 18 nayo pia ameivunja..... umefurahi sasaSheria ya vyama vya siasa ndiyo katiba?
Kwann iwe mbowe kujimaliza kisiasa na isiwe ccm uwezi kuyaondoa mapenzi ya watanzania kwa mbowe na lowassaNina hakika na taarifa hii. Sijawahi kuleta habari ya uongo hapa